secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,412
- 28,852
Mimi watu niliokuwa nao kimapenzi huwa siwaiti maex mkuu kwa sababu ninapokutana nao popote huwa najamiiana nao bila shida.
Ushamaliza kila kitu, anisumbue tena?Yule msumbufu
Ni bora kufa kuliko kurudiana naye.Alinivimbisha jicho, ni wivu tu hakuna kingine mshenzi kabisa yule
House keeper sio nyumbani sheikh, hawa ni wa mahoteliniKiufupi ukiona beki tatu ujue anampa pasi straika
Hivi nyie viumbe kufa mnachukulia poa et....Natumaini ni kwema wakuu.
Utamrudia Ex-wako ama bora kufa?
Uzi tayari
Cc: Binti Sayuni03 | To yeye | Anastasia21 | Lamomy | holoholo | Poor Brain | Fanton Mahal | secretarybird | nakwede97 | Principle girl | Marcy | Joanah | broo Evelyn Salt
Source: Marioo - Dear Ex
Hakika mkuu, siwezi kumrudia kabisaNi bora kufa kuliko kurudiana naye.