Utamkaji wa neno 'confuse'

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Confuse=kuchanganya. Hili neno bwana nimekutana na wa2 kadhaa wa afrika na nje (nnje) ya afrika wanalitamka [konfAs] mimi nimezoe kulitamka [konfYUZI] tangu sekondari. Which is which kwa wale wenye kamusi za kueleweka.
 
Hata mi nna soft copy dictionary ya wordweb nikibyofa ka alama ka spika kanatamka [kun'fyooz]. Niki2mia na hiyo ya kwako pia. Na-conclude kua hawa wa2 nlokutananao basi nao hawajui matamshi ya hili neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…