1.anapua ndefu na kubwa
2.mara nyingi wavivu kupiga mswaki
3.anaweza vaa kanga moja akaenda hadi mtaa wa saba
ukiona mwanamke anasifa hizi we oa ndo mke mwema huyo
Hivi kwanini mnapenda kukusema swala la wanawake na pesa? Inamaana wanaume wa humu ndani wote wanapata wanawake ambao hawana hela? Huwa sielewi hii ishu kwakweli