newton.newton
Member
- Feb 2, 2014
- 12
- 0
Utampateje mke anayekufaa maishani mwako??
Utampateje mke anayekufaa maishani mwako??
Utampata club au beach chagua aliyemeza carolight kisawasawa huyo ndio atayekufaa maishani.Utampateje mke anayekufaa maishani mwako??
kwa kufunga na kuomba!
nani alienda kutangaza shuleni kuwa kuna jf jamani?
ha!ha!haaa maake nimewazaa nkaona ah!ya nini bhana afunge n aombe.short n clear
Haya majibu yote magumu saaaana watu8 please please
Utampateje mke anayekufaa maishani mwako??
ha!ha!haaa maake nimewazaa nkaona ah!ya nini bhana afunge n aombe.
Mpwa mbona swali lake rahisi sana hebu soma tena hapa.
Mpwa huoni kuwa mwanamke yoyote anapatikana kwa tongozo, na tongozo lazima likubaliwe...
nani alienda kutangaza shuleni kuwa kuna jf jamani?