Utamfanyanini huyu?

Nitamnunulia kitenesi ila atakunywa uji bila sukari mwezi mzima
Sasa kwa uji bila sukari mwezi mzima mbona utamtesa mwanangwa bila sababu na mkosaji ni wewe hukuweza kumpatia kitenesi chake
 
Hasara zingine hizi, yaani Baba yake atalipa tu
 
uyo ukimnunulia kitenes bado atavunja mayai chamuhim mnunulie mpira wa RUGBY apo ni full amaniw
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…