Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
haya mambo bhana..!
Sasa kwa uji bila sukari mwezi mzima mbona utamtesa mwanangwa bila sababu na mkosaji ni wewe hukuweza kumpatia kitenesi chakeNitamnunulia kitenesi ila atakunywa uji bila sukari mwezi mzima
Hiyo ni hasira baada ya hasara mkuuSasa kwa uji bila sukari mwezi mzima mbona utamtesa mwanangwa bila sababu na mkosaji ni wewe hukuweza kumpatia kitenesi chake
Tuwavumilie vijana wetu, manake hata sie tuliwakosea hivyohivyo wazee wetuHiyo ni hasira baada ya hasara mkuu
Kwann mkuu?uyo ukumnunulia kitenes bado atavunja mayai chamuhim mnunulie mpira wa RUGBY apo ni full amani
we huoni mpira wa rugby ndo umekaa kama yai;?Kwann mkuu?
Pw nimekusoma... halafu pia auweke kwenye kitu kama tray ya mayai ama vepee?we huoni mpira wa rugby ndo umekaa kama yai;?
vuruga zote mfukoni = tumumia hela zote!hhhhhhh! haswaa apo vurugu zote mfukon