Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,269
- 1,269
Ikitokea umepewa siku moja tu, yenye masaa 24, umchague mtu mmoja tu ambae utapata nafasi ya kusikia maneno yake, kuona matendo yake na kujua mawazo yake bila ya yeye kujua, NAULIZA HIVI, UNGEMCHAGUA NANI?Na unadhani utaweza kuvumilia kwa hayo masaa 24/Mahusiano yako yatakuwaje na huyo utakayemchagua baada ya masaa 24?