Utambulisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utambulisho

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Wa Mjengoni, May 8, 2010.

 1. Wa Mjengoni

  Wa Mjengoni JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Salamu zenu wote wa jamvini, napenda kutoa utambulisho kuwa mimi ni Wa mjengoni kule kule zinapozaliwa sheria.Nimekuwa natembelea humu kwa muda mrefu bila kuwa member sasa nadhani nitakuwa karibu zaidi nanyi. Asanteni.[​IMG]
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mh at last nampata jirani!

  Wa mjengoni napatikana Idodomya pia mara kwa mara! karibu sana
   
Loading...