Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,875
Poapoayeah mambo yanq ayooiyo imeka unyama sanaaa ngoja nikajionee mwenyew
Poapoayeah mambo yanq ayooiyo imeka unyama sanaaa ngoja nikajionee mwenyew
Kwa picha hiyo atashindwa kuenda na trend ya JF ya kila mtu kuwa mjasiriamali mwenye mijengo ya maana, ndiga za haja na pisikali.
Kwa hiyo yeboyebo ya yanga na socks ataishia kupopolewa tu na matajiri wa humu.
Ila watu wa design hii wakija kuzoea JF wanajifanya wajuaji balaa.



aiiyaah kashakosa wachumba huyu, picha ishamponzaHongera kwa kujikomboa chumba cha giza, na yebo la kwenda...





jamaniMwenye hio picha please, haionekani tena kwenye uzi



Mpe tu hivyo2.Bro ushatukosa wachumba
Na hizo yebo km wamasai wanaenda mnadani kuuza mbuzi bye bye![]()