Utambulisho wa SIMBA - X

Habari !

Jina langu halisi naitwa mosses aginga agweyo, kabila langu ni mjaluo mimi ni jinsia ya kiume na nimezaliwa mnamo june 19, 2000 katika mkoa wa dar es salaam, Tanzania.

Mimi ni mtoto wa mwisho katika familia ya mzee aginga, katika familia yetu tupo jumla ya watoto wanne wasichana wawili na wavulana wawili. Nimezaliwa kwenye imani ya kikristo pia dini yangu ni ukristo.

Katika maisha yangu napendelea sana kama vile kusafiri, kufanya mazoezi, kuimba na kusikiliza mziki, kujifunza na kufundisha, kuangalia sinema, kupumzika, kusoma na kuandika vitabu, kula, kuogelea, kuangalia na kucheza mpira, kuigiza, kucheka na kuchekesha, kushiriki mashindano, kuongea kwa kiasi, kukambika, kuongoza n.k

Jina langu la utani naitwa "SIMBA - X" kwasababu napenda sana kuwa mshindi, kama tujuavyo kwamba simba ni mnyama mkali na mfalme wa misitu pia anapenda sana kuwa mshindi.

Asante sana. !!

View attachment 2324071
Ha ha haaaaaaa hahahaha hahaaaaaaaaaaaa...fb.
 
Simba - X angalia huku kuna swala usije pita nao
 
Back
Top Bottom