Utambulisho:-ngido dd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utambulisho:-ngido dd

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by David Danson Sengela, Apr 21, 2012.

 1. D

  David Danson Sengela New Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HODI JAMII FORUM
  JINA:-NGIDO DD
  >>Naomba kubadilishana mawazo katika tasnia hii ya TEKNOHAMA ambayo ndiyo kimbilio la dunia kwa ujumla wake.
  SWALI:-
  >>>>>>>Je ni watanzania/watanganyika wote watakaomudu gharama za mfumo mpya wa KIDIJITALI AKUTOKA analojia ifikapo tareha 31/12/2012 ifikapo saa 6.00 na dk 1 usiku?
  >>>>>>>>Naomba hoja/maoni/mapungufu/muono mbele na ushauri manake mpaka sasa hivi kila kampuni ya matangazo ya luninga hujipangia bei na vifurushi katika ving,amuzi vyao na TCRA ipo,sielewi,,na si ule MKONGO WA TAIFA si umeshafika katika taasisi nyeti zote?
  HAYA NJOONI TUSEMEZANE,,:A S angry:
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kwanza karibu ukae then tutaongea...
  Karibu sana
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mgeni ana mbwembwe...hamezi mate...bahati wamekukuta wewe mapokezi...mm angerudi aliko toka...wallah...Erickb52!
   
 4. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  tehe tehe tehe !
  Mgeni hayo maswali uende ukawaulize wenzako hapo juu. Sisi wengine
  yatatuzeesha bila faida.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Karibu sana JF.
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Karibu sana.
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,275
  Likes Received: 2,952
  Trophy Points: 280
  Karibu sana!
   
Loading...