Utambulisho kwenu -- naomba mnipokee

Utambulisho kwenu -- naomba mnipokee

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
242
Assama Alaikum jamaa. Huu ni utambulisho -- nimeingia JF kwa lengo moja tu: KUIKOMBOA NCHI YETU KUTOKA MIKONONI MWA WEZI WANAOFADHILIWA NA KULINDWA NA CCM.

NAOMBA USHIRIKIANO WENU.

ASANTENI.
 
japo nami mgeni ila nimependa busara yako ya kuacha kutumia lile jina lako la mtaani...P......M..U SI MZIGO
 
Back
Top Bottom