H Haruna Malima Member Joined Jun 26, 2009 Posts 56 Reaction score 7 Jun 30, 2009 #1 Hi JF! Najifunza kutembea nikipasua vyombo msishangae. Kichanga hachapwi. HODI Wana JF! Eti kuna Changu-utumishi badala ya Changudoa?
Hi JF! Najifunza kutembea nikipasua vyombo msishangae. Kichanga hachapwi. HODI Wana JF! Eti kuna Changu-utumishi badala ya Changudoa?
MwanaFalsafa1 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 5,564 Reaction score 849 Jun 30, 2009 #2 You are welcome to JF.
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,197 Jun 30, 2009 #4 karibu kwa mikono yote miwili
Hebrew JF-Expert Member Joined Jul 3, 2008 Posts 562 Reaction score 171 Jun 30, 2009 #5 Karibu sana mkuu malima
B Babuyao JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 1,740 Reaction score 274 Jun 30, 2009 #6 karibu sana ndugu.
The Farmer JF-Expert Member Joined Jan 7, 2009 Posts 1,658 Reaction score 559 Jun 30, 2009 #7 Karibu sana ndani ya JF.
mbuvu Member Joined Jul 3, 2009 Posts 65 Reaction score 14 Jul 9, 2009 #8 Unakaribishwa kwa mikono miwili mzee
M mramba Member Joined Jul 23, 2009 Posts 30 Reaction score 2 Jul 23, 2009 #9 hodihodi kwa wenye mji.Ndo kwanza natambaa mwenzenu, nikikwangukia naomba uniinue......usinisukumize kwa teke ntashindwa tembea kama nyie
hodihodi kwa wenye mji.Ndo kwanza natambaa mwenzenu, nikikwangukia naomba uniinue......usinisukumize kwa teke ntashindwa tembea kama nyie
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,788 Jul 23, 2009 #10 mramba said: hodihodi kwa wenye mji.Ndo kwanza natambaa mwenzenu, nikikwangukia naomba uniinue......usinisukumize kwa teke ntashindwa tembea kama nyie Click to expand... Mramba unacheza faulo....piiiiiiiiiiiiiiiii!!! Lakini hatutakutoa nje kwa vile ndo unaingia kwenye gemu Unatakiwa uanzishe thread yako , na si kudandia kwa mwenzio anayejitambulisha, sawa mwanangu?
mramba said: hodihodi kwa wenye mji.Ndo kwanza natambaa mwenzenu, nikikwangukia naomba uniinue......usinisukumize kwa teke ntashindwa tembea kama nyie Click to expand... Mramba unacheza faulo....piiiiiiiiiiiiiiiii!!! Lakini hatutakutoa nje kwa vile ndo unaingia kwenye gemu Unatakiwa uanzishe thread yako , na si kudandia kwa mwenzio anayejitambulisha, sawa mwanangu?
The Farmer JF-Expert Member Joined Jan 7, 2009 Posts 1,658 Reaction score 559 Jul 23, 2009 #11 Haruna Malima said: Hi JF! Najifunza kutembea nikipasua vyombo msishangae. Kichanga hachapwi. HODI Wana JF! Eti kuna Changu-utumishi badala ya Changudoa? Click to expand... Karibu ndani ya JF - "The Home of Great Thinkers"
Haruna Malima said: Hi JF! Najifunza kutembea nikipasua vyombo msishangae. Kichanga hachapwi. HODI Wana JF! Eti kuna Changu-utumishi badala ya Changudoa? Click to expand... Karibu ndani ya JF - "The Home of Great Thinkers"