Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,886
Preta majina yangu kwa urefu ni Okonkwo Amadi Soulbrother Ike
Nikutumie picha ili uweze kuupenda utamaduni wangu?
tafadhali fanya hima
Preta majina yangu kwa urefu ni Okonkwo Amadi Soulbrother Ike
Nikutumie picha ili uweze kuupenda utamaduni wangu?
Acheni kututenga jamani, hata sisi ni mahendsome na tunajipenda huenda kuliko hata hao wanaijeria!Preta we acha tu wako fit na wanajipenda kweli sijui huwa wanafanya interview kuwapata !?
nachagua 'mbinguni' kule ni kula, kunywa, kuimba nyimbo za kumsifu bw. God, hakuna njaa, maradhi (ukimwi/aids, kipindu x 2, n.k.), hakuna mafisadi, yaani ni raha kwa kwenda mbele (mungu nisaidie nifike huko)
Acheni kututenga jamani, hata sisi ni mahendsome na tunajipenda huenda kuliko hata hao wanaijeria!