Utam unapogeuka uchungu. . !!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Huyu mwanamke anaishi maeneo ya Ghana jijini Mwanza.Inaelezwa miezi 6 iliyopita wakati wanaume wanamchumbia alikuwa anawaambia kuwa;"kama huna maumbile makubwa usipoteze muda wako" bahati nzuri akampata mwenye alichohitaji.Sasa Anasema ndoa imemshinda ukubwa ule wa maumbile unamkera na pia jamaa anapiga gemu mara 4 kwa siku,dada anadai uvumilivu umemshinda.Dada zangu kuweni makini na haya mambo haya ya oooh kibamia hakina stim,sijui nini shauri yenu!Huyu sasa anakitamani kibamia na hakipati!Kuweni makini!
 
jamani kuonja kabla ya jumla kuna faida yake.na unaamua kabisa,ukubali au ukatae.sio baada ya ndoa tena,unabaki oooh,kubwa,oooh ndogo.oooh hanifikishi.ndoa ikiwa changa,huo mchezo unachukua nafasi kubwa.
 
Charminggirl,nadhani alishake but it wasnt gud "inaf" yeye baada ya kuona "kitu" kubwa akamove on!
 
Last edited by a moderator:
Charminggirl,nadhani alishake but it wasnt gud "inaf" yeye baada ya kuona "kitu" kubwa akamove on!
 
Last edited by a moderator:
Charminggirl,nadhani alishake but it wasnt gud "inaf" yeye baada ya kuona "kitu" kubwa akamove on!
 
Last edited by a moderator:
Msemo wa kuchamba kwingi unamuhusu huyo mdada....au mchagua sana nazi mwishowe anaambulia koroma...
 
kesha yavulia nguo maji hayoo ayaoge tuu, na kama kweli mwanammke basi hawezi kukosa mbinu zakumchosha huyo bwana hapo kwenye sita kwa sita mwambie mwanamke ujuzi bibiieeeeeeeee!...
 
4x a day, anatafuta saa ngapi maisha kama kila saa yuko kifuani kwa bidada?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom