MasaiSupai
Senior Member
- Jan 18, 2013
- 109
- 32
Mambo ya kawaida, ilianzia Kenya miaka 50 iliopita
Pale posta mpya mtaa wa upanga karibu na Hoteli ya Hollday in kuna marasta huitwa beach boys shughuli yao ndio hiyo.
"Dini siyo kikwazo kwa ‘ma beach boy' wengi kwa kuwa wanachoangalia wao ni kusafiri tu iwapo nafasi itapatikana. Mimi nina rafiki zangu wengi, walikubali kubatizwa na kufunga ndoa kanisani ili mradi tu waondoke nchini," anasema Bryson na kuongeza:
"Hakuna anayejali dini hapa, kila mtu anataka kusafiri, wako radhi wabatizwe hata na maji gani, lakini kama mwisho wa siku wataondoka hawalijali hilo."
Inasikitisha sana. Vijana wanahitaji sana elimu.
Pia, uchunguzi umeonyesha kwamba wanawake wa kizungu wanapenda vijana wenye rasta, wakiamini kuwa siyo wahalifu.
Kwa nchi kama Uingereza wakiona kijana wa kiafrika ana Rasta na ni Imani yake na sio wa kuiga, wanamuamini sana na ndio maana hata Visa au Passport hawasumbuliwi na kazini wanaonekana waaminifu sana na sio Racist, Ila hapa kwetu ni tofauti, vivijana unavikuta vina Dreads na kujiita Rasta kumbe vitapeli tu, I HATE THAT.
nami nimeisha fanya utalii huo kuanzia ulaya mpaka Brazil huko ndio usiseme, uliza baharia yoyote atakuambia, na wale wasomi pia wameisha fanya utalii huo ukiwa chuo hasa scandinavia utakimbia wewe
Kwa wanawake je...nataka nihamie hukooo kama inalipa. Teh teh nipate 0,5 pia lol.
On serious note, nashangazwa na majibu ya Mr. Tengeneza, anafahamu fika kuwa utalii upo East Africa lakini hana uhakika TZ upo. Hii inaonyesha kutokujua nini kinaendelea ikiwa yeye ni mshika bendera kwenye idara yake.
mi nilikuwa sijui kama inalipa kiasi hicho, ngoja nianze kufuga nywele zangu huenda na mimi nikaibuka ni lijimama limoja linitoe kimaisha....kama misuli ya kupigisha ligwareide mpaka asubuhi mbona ninayo ya kutosha tu!...ntaanza kurandaranda maeneo ya zenji kwanza....nikishamaliza huko nahamia Aracuga...mambo mswano babake!!!Yaani hiyo ndio imenishangaza sana! Hana hata aibu kukiri kwamba alikuwa hana habari kuwa sex tourism ipo nchini. Hawa ndio maboss kwenye idara ya utalii. Eti Kenya ipo alifikiri Tanzania haitakuwepo sababu watu wana nidhamu??? :confused2:
Nimesomea utalii, na Sex Tourism ni mojawapo za topics zinazoongelewa. Tanzania ni nchi yenye amani na yenye vivutio vingi kwahiyo of course kutakuwa na watu wanakuja kufuata ngono.
H i l i
s i
j i p y a
h a p a
N c h i n i.