Utalii Tanzania

geofreyngaga

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
649
939
Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa kua na vivutio vingi vya utalii duniani lkn share yetu ktk solo la utalii bado ni ndogo sana kwani tunapata watalii wasiofikia 1,200,000 kwa mwaka wkt kenye jirani yetu ambae hana chakutuzid anapata watalii 2,000,000.
Lkn pia kuna nchi zinapata watalii zaid ya 80mil. kwa mwaka. Tukumbuke mapato ya kigeni kutoka kwa hawa watalii 1.2m tu ni usd2bilioni(source bot) sawa na 20% ya budget yetu ya 2015-2016.
Unadhani tufanye nini kuongeza namba ya watalii, tujitangazaje kuhakikisha tunapata watalii wengi ndani ya muda mfupi ikiwezekana tufikie idadi ya 2m kama majirani zetu ndani ya miaka 2 au 3?
Nimeamua kuandika hii kitu sbb tuko nyuma wkt tunakila sbb yakua mbali. Pia matangazo mengi niliyo yaona haya bambi kabisa, hayavutii, hayashawishi vya kutosha, yako very local, yani kama ilivyo TBC haipendezi, TTB bado ina kaz kubwa ya kufanya tuisaidie.
 
Back
Top Bottom