Utake isitake...

hapa hata mie nimo...tukutane emily's ijumaa hii...tusikilize riddim
alwys nipo pale ijumaa utanikuta man full makofidensi narika riddim mbaya....just water and spliff
 
alwys nipo pale ijumaa utanikuta man full makofidensi narika riddim mbaya....just water and spliff

Mie huwa nakuja sana...na kuna kipindi nikawa na sport yetu na washikaji. ya riddim pale buddhablue
 
labda maRas wa jamaica ila wakibongo siafiki!! ni baadhi yao
 
Wengine ni Rasta ya fashion sio imani. Sasa sijui vinaingilianaje? Nanyi marasta muachie wengine wake zenu hamtosalitiwa kwa kutumia "upako huo huo" wa wake wa wengine kuwa safe kwa marasta. Unauliza makofi polisi?
 
saa unasemea marster kama kina chege chigunda....wale mabitozii
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…