Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,265
- 1,092
kama umekufurahisha hujaona kitufe cha like??? watu wachoyo jamani, dah!
Natumia simu mkuu na browser ya operamini
kama umekufurahisha hujaona kitufe cha like??? watu wachoyo jamani, dah!
Ukiona anakwambia nisindikize internet cafe-ujue huyo tayari vuta kamba
Wengine maji yako nyumbani...Internet cafe! Hebu fafanua hapo, kwa nini internet cafe, na si kuchota maji, sokoni, ....