Utajuaje mwanamke kala ndoano?

Utajuaje mwanamke kala ndoano?

Itakua karne ya 17 labda.cku hzi utackia bby nimeona vx kwa showroom msasani nimelipendaaa hahaaaa
Karne hizo walikuwa wanatongozewa so hizi dalili hazikuwepo,hizi ni dalil za karne ya 21 huyo anaye kimbilia show rum ni gubegube
 
Unaweza kuvuta kamba ukakuta kumbe ndoano yenyewe imenasa mamba akakutafuna, hivi kwa nini huwa hatushauriani mbinu bora za kuoa wanawake wema na wenye maadili tunashauriana kutafuta vimada na ngono zisizo rasmi, kweli tutaendelea kwa mwendo huu!!??

Atakaetukana ndo limemgusa zaidi!
kwani hapa zinaongelewa habari za kutafuta wanawake wasio wema hapa zinaongelewa dalili za mwanamke anapokuwa anaelekea kukubali endapo umemtongoza au hata kama haujamtongoza ila kuna kuwa na dalili fulani huzionesha akikuhitaji
Hapo ndo tunasema vuta kamba maana mwanaume yeyote ni mvuvi hata mke unamvua katika kundi la wanawake wengi akionyesha dalili we vuta kamba tu umuweke ndani
 
Aimeeeeeen ameelewa huyo!
 
Kama mko chuo atakuomba umfundishe au umsolvie swali
Mmmh hapo kun mawili ndugu wengine ukivuta kamba inatoka patupu,ila kama anapenda kusoviwa mkiwa wawili tu hataki waje wengine huyo vuta kamba
 
uKIMWI WATISHA NDUGU ZANGU TAKE CARE
Na unatisha kweli ndugu yangu lakini sijui wewe umeelewaje hapa? hata mwanamke ambaye unatarajia awe mke wako hapa anahusika hawajaongelewa malaya au vicheche we vuta kamba tu
 
kazaneni kuvuta..siku mkivuta na magonjwa mje mtuambie hapa
Hapa hayavutwi magonjwa hata wewe naamini kuna dalili ulionyesha kwa mpenz wako wakati anakutongoza hata kama ulimtongoza wewe ila kuna sign ambazo ulionyesha ndo hapo tunasema vuta kambaaa
 
Ukitokea tu,umesifiwa,unajua kupangilia mavazi,we mtanashati kweli,lakin mbona umenipita bila kunisalimia'.hapa Daudi1 tunasema _ _ _!
 
Last edited by a moderator:
Ukitokea tu,umesifiwa,unajua kupangilia mavazi,we mtanashati kweli,lakin mbona umenipita bila kunisalimia'.hapa Daudi1 tunasema _ _ _!
 
Last edited by a moderator:
Itakua karne ya 17 labda.cku hzi utackia bby nimeona vx kwa showroom msasani nimelipendaaa hahaaaa

Si ndio.......hivi kuna watu bado wanaombwa air time........?......hii karne ya 32........!!!!
 
Uliza swali/onesha kama kumtilia shaka hivi akikujibu kubali kwa shingo upande!!!!!
Akiuliza umeelewa sema sijaelewa ila sina jinsi....ataongeza maelezo ili kufafanua zaid ili uridhike......
 
Unaweza kuvuta kamba ukakuta kumbe ndoano yenyewe imenasa mamba akakutafuna, hivi kwa nini huwa hatushauriani mbinu bora za kuoa wanawake wema na wenye maadili tunashauriana kutafuta vimada na ngono zisizo rasmi, kweli tutaendelea kwa mwendo huu!!??

Atakaetukana ndo limemgusa zaidi!

Hebu waelimishe maana wanawaza tu kuvuta kamba,siku ikikatika sijui itakuwaje
 
Mtoto wa kiume hujui kama ikikatika inaungika????!!!!

Mimi ni wa kike.

Inaungika kwa fundo kumbuka,

Sio kila jiwe ling'aalo ni dhahabu

Be a calculative risk taker sio tu kwa kuwa una ndoano unavuta kamba,

Itakukostii mkuu
 
Hahahahaaaa siku hizi waatumia kidhungu et "my" vuta kamba tu
Nikishaanza kuitwaga hivi tu huwa sicheleweshi, na woote huwa wanatiki...

Yaani ukijua kucheza na akili za wanawake unafaudu sana duniani hapa
 
Mimi ni wa kike.

Inaungika kwa fundo kumbuka,

Sio kila jiwe ling'aalo ni dhahabu

Be a calculative risk taker sio tu kwa kuwa una ndoano unavuta kamba,

Itakukostii mkuu

Ishu ni kuvuta kamba tu, hayo mengine huwa tunayajulia huko huko mbele kwa mbele...

Yaani ni kuvuta kamba tuuu
 
Back
Top Bottom