Utajuaje mwanamke kala ndoano?

Utajuaje mwanamke kala ndoano?

kazaneni kuvuta..siku mkivuta na magonjwa mje mtuambie hapa
 
Unaweza kuvuta kamba ukakuta kumbe ndoano yenyewe imenasa mamba akakutafuna, hivi kwa nini huwa hatushauriani mbinu bora za kuoa wanawake wema na wenye maadili tunashauriana kutafuta vimada na ngono zisizo rasmi, kweli tutaendelea kwa mwendo huu!!??

Atakaetukana ndo limemgusa zaidi!
 
Ukiona spid ya salamu imeongezeka jua tayari.

Akikuona upo busy na simu atakuwa anakuuliza unachat na nan??

Kila utakapomwita anakuja.

Mwisho wa siku atakwambia I LOVE YOU

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kama mko chuo atakuomba umfundishe au umsolvie swali
 
Huu izi umenifurahisha sana maana kuna mrembo despite kujua kuwa nilishavuta kamba siku nyingi na samaki wangu sio tu kwamba nilikula ila mie niliamua kumtunza ila yeye daily anadisplay hizo character zote za kuwa yeye yupo tayari kuvuliwa na hadi imefikia hatua nimemblacklist kwenye simu yangu ila kimbembe huja inapotokea tumekutana....
Yaani mh!! Anyway kwa single fishermen that is a golden opportunity if you meet any😀😀
 
Back
Top Bottom