mr.general
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 990
- 618
yap ndugu tupo makin
Mimi ni wa kike.
Inaungika kwa fundo kumbuka,
Sio kila jiwe ling'aalo ni dhahabu
Be a calculative risk taker sio tu kwa kuwa una ndoano unavuta kamba,
Itakukostii mkuu
Sasa unadhani unaweza kumvua bila ndoano?
Afadhal uwaambie...inawezekana unachorwa dume zima unahis umepata
sijakuelewa mkuu, hii nayo ni dalili kuwa kala ndoano?
nichekee chekee basi jama
Hahahaaa stail yako nimeipenda naona unajiandaa kuvuta kamba......vuta kamba tu!nichekee chekee basi jama
Mmmh hapo kun mawili ndugu wengine ukivuta kamba inatoka patupu,ila kama anapenda kusoviwa mkiwa wawili tu hataki waje wengine huyo vuta kamba
Huu izi umenifurahisha sana maana kuna mrembo despite kujua kuwa nilishavuta kamba siku nyingi na samaki wangu sio tu kwamba nilikula ila mie niliamua kumtunza ila yeye daily anadisplay hizo character zote za kuwa yeye yupo tayari kuvuliwa na hadi imefikia hatua nimemblacklist kwenye simu yangu ila kimbembe huja inapotokea tumekutana....
Yaani mh!! Anyway kwa single fishermen that is a golden opportunity if you meet any😀😀
Huu umekuwa mtihani mkubwa sana kwa wanaume, wavua samaki wao wanaweka boya, akiona linazama tu anajua tayari samaki keshakula ndoano basi kazi yake ni kuvuta tu. Mwanaume unaweza kurusha ndoano kwa mwanamke, mwanzoni anaweza kutoa nje asionekane cheap, sitaki nataka au labda kweli ana mtu wake kwa wakati huo, mtihani unakuja pale mwanamke anapoachika akataka kuja kwako sasa, kukuambia hawezi ila anaanza viishara tu, sasa utajuaje kala ndoano?
1. mwanzoni anaweza akawa hakuchekei, ukiona anaanza kukuchekea basi jua mambo tayari.
2. ataanza kukutumia msg za mara kwa mara, vuta mambo tayari.
3. ataanza kukueleza matatizo yake na ikibidi kuomba msaada wa hapa na pale, mara nilicharge.
4. ataanza kuponda wanaume, wanaume waongo, mara oooh mapenzi yanaumiza, jua tayari vuta kamba.
tafadhari ongezea tupate uelewa mpana.