Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,333
- 40,654
😂😂 We boyaIla JF unaweza kuta mtu anaandika haya akiwa bafuni aanafua chupi za mkewe maana ameambiwa bila kuzifua hapewi game leo😁
Astghafirullah 🙌Ila JF unaweza kuta mtu anaandika haya akiwa bafuni aanafua chupi za mkewe maana ameambiwa bila kuzifua hapewi game leo😁
Umewahi kuwa mwanamke?Mwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.
Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.
-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana kiasi kwamba hauwezi kufanya chochote bila kupata ruhusa yake au kumjumuisha kwenye maamuzi yako.
-Upo attached emotionally kiasi kwamba hauwezi kumwajibisha anapokosea
-Unambembeleza asikuache
-Unamtamkia kwamba hauwezi kuishi bila yeye
-Unawekeza kwake muda, hela na rasilimali zaidi ya unavyowekeza kwa ajiri yako mwenyewe
-Unaomba msamaha kama mtumwa. Sio vibaya mwanaume kuomba msamaha lakini omba msamaha kama mfalme, sio kama mtumwa
-Unafanya kila anachokisema au anachokitaka
-Hauelewi nature ya mwanamke na kudeal nae kulingana na nature yake.
Mambo yote hapo juu ndio yanaonyesha wewe ni mwanaume dhaifu, na ndio exactly mambo ambayo wanawake, media na jamii itakuamasisha ufanye uonekane upo romantic. Bullshit.
Angalia mambo yote hayo unayomfanyia au unafanya kwa ajiri yake halafu jiulize nani anaekufanyia wewe hayo mambo au anafanya kwa ajiri yako? au wewe haustahili kufanyiwa hayo?
Watakuambia ni sawa kwa mwanaume kulia, kuonyesha vulnerability, kum-spoil mwanamke, ku-elevate maisha ya girlfriend n.k. Mimi nakuambia ukweli ukifanya hayo basi umejiakikishia nafasi yako kwenye jamii ya masimp. You just brought yourself a one way ticket to simplicity and you're never comming back in your full frame and masculine glory.
Don’t be a simp
Nondo yako vizuri sanaMwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.
Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.
-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana kiasi kwamba hauwezi kufanya chochote bila kupata ruhusa yake au kumjumuisha kwenye maamuzi yako.
-Upo attached emotionally kiasi kwamba hauwezi kumwajibisha anapokosea
-Unambembeleza asikuache
-Unamtamkia kwamba hauwezi kuishi bila yeye
-Unawekeza kwake muda, hela na rasilimali zaidi ya unavyowekeza kwa ajiri yako mwenyewe
-Unaomba msamaha kama mtumwa. Sio vibaya mwanaume kuomba msamaha lakini omba msamaha kama mfalme, sio kama mtumwa
-Unafanya kila anachokisema au anachokitaka
-Hauelewi nature ya mwanamke na kudeal nae kulingana na nature yake.
Mambo yote hapo juu ndio yanaonyesha wewe ni mwanaume dhaifu, na ndio exactly mambo ambayo wanawake, media na jamii itakuamasisha ufanye uonekane upo romantic. Bullshit.
Angalia mambo yote hayo unayomfanyia au unafanya kwa ajiri yake halafu jiulize nani anaekufanyia wewe hayo mambo au anafanya kwa ajiri yako? au wewe haustahili kufanyiwa hayo?
Watakuambia ni sawa kwa mwanaume kulia, kuonyesha vulnerability, kum-spoil mwanamke, ku-elevate maisha ya girlfriend n.k. Mimi nakuambia ukweli ukifanya hayo basi umejiakikishia nafasi yako kwenye jamii ya masimp. You just brought yourself a one way ticket to simplicity and you're never comming back in your full frame and masculine glory.
Don’t be a simp
Don't be simpMwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.
Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.
-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana kiasi kwamba hauwezi kufanya chochote bila kupata ruhusa yake au kumjumuisha kwenye maamuzi yako.
-Upo attached emotionally kiasi kwamba hauwezi kumwajibisha anapokosea
-Unambembeleza asikuache
-Unamtamkia kwamba hauwezi kuishi bila yeye
-Unawekeza kwake muda, hela na rasilimali zaidi ya unavyowekeza kwa ajiri yako mwenyewe
-Unaomba msamaha kama mtumwa. Sio vibaya mwanaume kuomba msamaha lakini omba msamaha kama mfalme, sio kama mtumwa
-Unafanya kila anachokisema au anachokitaka
-Hauelewi nature ya mwanamke na kudeal nae kulingana na nature yake.
Mambo yote hapo juu ndio yanaonyesha wewe ni mwanaume dhaifu, na ndio exactly mambo ambayo wanawake, media na jamii itakuamasisha ufanye uonekane upo romantic. Bullshit.
Angalia mambo yote hayo unayomfanyia au unafanya kwa ajiri yake halafu jiulize nani anaekufanyia wewe hayo mambo au anafanya kwa ajiri yako? au wewe haustahili kufanyiwa hayo?
Watakuambia ni sawa kwa mwanaume kulia, kuonyesha vulnerability, kum-spoil mwanamke, ku-elevate maisha ya girlfriend n.k. Mimi nakuambia ukweli ukifanya hayo basi umejiakikishia nafasi yako kwenye jamii ya masimp. You just brought yourself a one way ticket to simplicity and you're never comming back in your full frame and masculine glory.
Don’t be a simp
Soma, chakata unachokisoma. Hauwezi ku-assume kwa usahihi mazingira ambayo mtu mwingine yupo.Ila JF unaweza kuta mtu anaandika haya akiwa bafuni aanafua chupi za mkewe maana ameambiwa bila kuzifua hapewi game leo😁
Na shati la kijani lenye mikanda mikononi sasa atakuomba hadi ya kushona sare ya mwengePoint nyingine
-Anakuwa kada mtiifu wa mboga mboga.
Kwahiyo kwa akili zako za kubandika makande jikoni ulitegemea jf yenye members zaidi ya milioni wote watakua na mtazamo mmoja?Tupunguze ushauri,kuna wakati kila mtu anatakiwa aishi vile anavyotaka yeye. Anyway niko zangu kitchen muda huu namsaidia Wife kuandaa Makande,yeye kaenda kusuka.
Mbona huwa wanaliaHiyo ya kulia mbele yake na kumbembeleza asikuache hakika ni udhaifu mkubwa na ni usimp wa hali ya juu sana