Utajisikiaje, utachukua hatua gani!!

Apo tatizo la wife ,,kwani yy hajui kama mke wa mtu? Pete s kigenzo ,,,
 
Hivi utajisikiaje kuwa na mwanamke asietongozwa? Badala ujisifie kwa kumiliki mke anaetolewa macho? Mpe jamaa ofa akanywee mezani kwake, awapishe!

King'asti sasa hayo masihara tena (hapo kwa red) loh!
 
Mkeo mkuu ndio wa kudeal nae, kwanza huyo hafai kuitwa mke...maana mke anajiheshimu tena kwenye public!!!, alikudharau sana ndio maana akaendelea kumpa huyo jamaa nafasi ya kuendelea kushusha verse.
 
kawaida tu...akitongozwa sio tatizo lakini akikubaliana na maneno ya mtongozaji hapo ndio tatizo linaanzia
 
hivi kama ndo umekaa sehemu mumeo akaondoka onetime akaja mtu kaanza kumsomesha mkeo sehemu aliyokaa unatarajia aondoke kwenye sehemu aliyokaa kisa asitongozwe ,acheni hisia potofu wanawake obvious wana aibu wanapoongea na strangers ,anyway kama hujiamini lazima utareact mbaya lakini kama unajiamini unapotezea
 
Wanawake bwana! Mapenzi haya,stress tupu! Yote ya nini lakini,aaargh!
 
Umetoka nyumbani na mkeo, bahati mbaya mkeo kasahau pete yake ya ndoa. Mnafika mahali mmekaa we simu ikaita ukatoka kidogo kwa sababu ya kelele uliporudi ukakuta kuna jamaa anamtongoza mkeo, halafu mkeo unamuona anajing'atang'ata vidole tu huku anakutizama. Halafu jamaa unamsikia anazidi kubembeleza kwa sauti ya upole ya mahaba. utajisikiaje, utachukua hatua gani!!.

Hiyo ni kama umepata bahati ya kuchunguza tabia ya mkeo. Jifiche sehemu endelea kuangalia jinsi mkeo anavyorespond kwa huyo bazazi na wape muda wa kutosha. Ukiona mkeo yuko positively na jamaa, na bado anaendelea kujing'atang'ata badala ya kumfukuzia mbali huyo jamaa, ujuwe ni kicheche na jipange kufanya maamuzi mapema. Lakini kama unaona yuko mkali na yuko mbali na jamaa na amejaribu kumuelewesha kuwa yeye ni mke wa mtu na akapinga kila aina ya ukaribu na huyo jamaa basi ujue ndo vile mwanamke kutongozwa ni kitu cha kawaida, mbaya ni yeye kutokuwa mwaminifu. Maana kama yuko tayari kutongozwa ukiwa umetoka naye out, je akiwa pekee yake huwa si mpaka anapigwa denda hadharani? lol, fukuzia mbali!
 
Umetoka nyumbani na mkeo, bahati mbaya mkeo kasahau pete yake ya ndoa. Mnafika mahali mmekaa we simu ikaita ukatoka kidogo kwa sababu ya kelele uliporudi ukakuta kuna jamaa anamtongoza mkeo, halafu mkeo unamuona anajing'atang'ata vidole tu huku anakutizama. Halafu jamaa unamsikia anazidi kubembeleza kwa sauti ya upole ya mahaba. utajisikiaje, utachukua hatua gani!!.

Kujing'atang'ata vidole hiyo siyo ishara nzuri. Mara nyingi ukiona mwanamke anatongozwa halafu anaanza kutafunatafuna kucha au vidole ujue kinaeleweka unless mwanaume ashindwe kumalizia. Huyo mke atakuwa na resistance ndogo sana akitongozwa. Kama ni mke wangu nitatafuta ufumbuzi wa kudumu, ambao utapatikana sehemu ya tukio wakati na-feel haswa hicho kitendo.
 
Lol! A car defines a man. Ndo natengeneza utaratibu na sie Beijing tuwe defined na magari.
what is the sexiest car kwa Wanawake?

Sitashangaa kuona hata madereva wa mawaziri wanaopoa wadada wakali..
Mwanamke hasifiwi kwa anachomiliki..bali huangaliwa nani anammliki..mind you King'asti
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom