Utajisikiaje, utachukua hatua gani!!

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Umetoka nyumbani na mkeo, bahati mbaya mkeo kasahau pete yake ya ndoa. Mnafika mahali mmekaa we simu ikaita ukatoka kidogo kwa sababu ya kelele uliporudi ukakuta kuna jamaa anamtongoza mkeo, halafu mkeo unamuona anajing'atang'ata vidole tu huku anakutizama. Halafu jamaa unamsikia anazidi kubembeleza kwa sauti ya upole ya mahaba. utajisikiaje, utachukua hatua gani!!.
 
Yani huyo mkeo anakua sie kabisa, mpaka wewe mwenyewe unarudi yeye bado anakubali kuongea na huyo bwana hapo basi hana adabu,na pete sio sababu yakumfanya mtu asikusogelee.
 
utampa jamaa nafasi zaidi ya kuendelea kumtongoza mkeo ili uone 'yield limit' yake....
 
Baeleze King'asti tena ukivua pete soko linashuka wengi hovyo siku hizi yanataka kulelewa eti!

Ukikua imaginations zako zita_improve. Unadhani pete ya ndoa ndo inazuia kutongozwa? Mtu anakutongoza kwa kuanza na 'mumeo hajambo? Wanao wanasoma wapi?'
 
Naanza na kubinua meza na vyote vilivyopo juu yake viwamwagikie kisha ndo tuingie kwenye mahojiano.
 
Mie mwenyewe sitongozi mwanaume asie na pete, manake pete ni ishara ya kuweza majukumu!

Yaani usipokuwa na pete unatongozwa na wakaka wa hovyooo! Shosti wangu alijinunuliaga pete akajivalishia kwa sonara! Akaopoa mwanaume wa abroad (mganda, fafa flani hehehe). Wanaprocess divorce, ila nayo no hatua,lol
Baeleze King'asti tena ukivua pete soko linashuka wengi hovyo siku hizi yanataka kulelewa eti!
 
Hivi utajisikiaje kuwa na mwanamke asietongozwa? Badala ujisifie kwa kumiliki mke anaetolewa macho? Mpe jamaa ofa akanywee mezani kwake, awapishe!
Naanza na kubinua meza na vyote vilivyopo juu yake viwamwagikie kisha ndo tuingie kwenye mahojiano.
 
Mie mwenyewe sitongozi mwanaume asie na pete, manake pete ni ishara ya kuweza majukumu!

Yaani usipokuwa na pete unatongozwa na wakaka wa hovyooo! Shosti wangu alijinunuliaga pete akajivalishia kwa sonara! Akaopoa mwanaume wa abroad (mganda, fafa flani hehehe). Wanaprocess divorce, ila nayo no hatua,lol

King'asti hapa umenichanganya hivi we ni Me au Ke
 
Mie mwenyewe sitongozi mwanaume asie na pete, manake pete ni ishara ya kuweza majukumu!

Yaani usipokuwa na pete unatongozwa na wakaka wa hovyooo! Shosti wangu alijinunuliaga pete akajivalishia kwa sonara! Akaopoa mwanaume wa abroad (mganda, fafa flani hehehe). Wanaprocess divorce, ila nayo no hatua,lol

King'asti hapa umenichanganya hivi we ni Me au Ke au umejisahau kama una ID mbili za jinsia mbili tofauti.?
 
Kabla ya yoTe is better to know what is going on? then maelezo yao ndio yatakupa mwelekeo wa kitu cha kufanya.
 
Hivi utajisikiaje kuwa na mwanamke asietongozwa? Badala ujisifie kwa kumiliki mke anaetolewa macho? Mpe jamaa ofa akanywee mezani kwake, awapishe!

Kuna kutongozwa na kudharauliwa sasa anashindwa kumtakia ondoka utaniharibia nipo na mme wangu
 
mimi namtia dole yule jamaa ili asivamie vamie siku ingine,halafu namuuliza waifu kwanini anakula kucha au alishalainika.
 
Umetoka nyumbani na mkeo, bahati mbaya mkeo kasahau pete yake ya ndoa. Mnafika mahali mmekaa we simu ikaita ukatoka kidogo kwa sababu ya kelele uliporudi ukakuta kuna jamaa anamtongoza mkeo, halafu mkeo unamuona anajing'atang'ata vidole tu huku anakutizama. Halafu jamaa unamsikia anazidi kubembeleza kwa sauti ya upole ya mahaba. utajisikiaje, utachukua hatua gani!!.

Kwanza kabisa, pete haina tatizo kwenye swala zima la kutongozwa. Wanaume wachache wasio na adabu wanapenda kutongoza wake za watu kwa kile wanachokiita hawana gharama. Hakuna mwanaume wa hivyo unasimama kwenda kuongea na simu anakuja kukaa na mkeo kumtongoza (sidhani labda umetunga ili tuchangie mada). Ikifikia hapo ujue amekuchoka. Unasuburi siku shetani amekomaa muachane vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom