sijui kama napenda kuambiwa au sipendi but ol I knw ni kwamba kumwambia mpz wako kuwa kuna jamaakakutongoza ni kwamba huyo jamaa hukumpenda na wala huna interest nae but ungekuwa unampenda n una interest wala husingesema.
Woga tu ndugu kwani ww nawe culimtongoza ndo ukampata? kama kweli analipa atatongozwa daily na akikwambia kila akitongozwa utamfungia na kazi utamwachisha ww vumilia tu........kama ni mwaminifu shukuru.......lol?
Mie sipendi kuambiwa ingawa najua hivi vitu vinaweza kuwepo
Issue ni kwamba akitongozwa/akitongoza kiukweli na akakubali kwani atakuja kuniambia ??
Halafu wanawake kwa jinsi walivyo, hata kama kaolewa asipotongozwa tongozwa mara kwa mara hajisikii vizuri.
na wanaume walicvyo hata kama wameoa, wasipotongoza tongoza marara kwa mara wala hata hawasikii raha.Halafu wanawake kwa jinsi walivyo, hata kama kaolewa asipotongozwa tongozwa mara kwa mara hajisikii vizuri.
wanajickia kama malaria malaria vile? we masaki...
sijui kama napenda kuambiwa au sipendi but ol I knw ni kwamba kumwambia mpz wako kuwa kuna jamaakakutongoza ni kwamba huyo jamaa hukumpenda na wala huna interest nae but ungekuwa unampenda n una interest wala husingesema.
Akitongozwa ki ukweli naye akavutiwa hawezi kuja kukwambia, watamalizana tu huko huko! Ndio maana mambo mengine huwa tuna ''assume'' kwamba uko peke yako na hakuna mwingine! Ili maisha yawe rahisi na yasiyo na pressure!
Hivi Peal umeolewa??? maana nakugongea thanks lakini wewe daaa!!!!
kweli kabisa....ni uamuzi wa mtu mwenyewe..haina mjadala hiiHivi mtu unaweza kusubiri kusimuliwa kama jua litachomoza au litazama? tangu mtoto wa kike anaanza kukimbia kimbia anaanza kuambiwa maneno ya kutongozwa (hey mchumba..!) na anapoanza kuota manyonyo ndio kabisa, na akianza kupata balehe ndiyo inakuwa ugomvi.. haijalishi msichana anakuambia au hakuambii ukweli ni kuwa atatongozwa akienda sokoni, akienda kanisani, akikaa darasani, akipita ofisini n.k
Mtoto wa kiume hivyo hivyo naye atatongoza hata migomba alimradi imekaa kimapenzi mapenzi..
so that given; mwisho wa siku ni uamuzi wa mtu kukataa au kukubali. Mwanamke utatongozwa kila wakati na kila mahali hata ujifanye mkali kama simba; lakini unayo nguvu yakukubali au kukataa. Ukikubali au ukikataa yote yanakuhusu wewe zaidi lakini yana gharama kubwa kwa mwenzio; na mwanamme vile vile.. unaweza ukaamua kumtongoza fulani au kutomtongoza au kukubali kutongozwa na mtu au kutokutongozwa lakini uamuzi wowote una gharama kwako na kwa mwenzio.
Mwisho wa siku (sijui kama ni siku ile ile!) tafuta na upate mtu atakayekupenda na ambaye kwake wanaume/wanawake wengine wote hawafui dafu. Kama unaye ambaye anazidiwa na mtu mwingine basi utajiunga katika ile clabu ya "wale"..
mimi naweka wazi
Halafu wanawake kwa jinsi walivyo, hata kama kaolewa asipotongozwa tongozwa mara kwa mara hajisikii vizuri.
Mie sipendi kuambiwa ingawa najua hivi vitu vinaweza kuwepo
Issue ni kwamba akitongozwa/akitongoza kiukweli na akakubali kwani atakuja kuniambia ??
Akitongozwa ki ukweli naye akavutiwa hawezi kuja kukwambia, watamalizana tu huko huko! Ndio maana mambo mengine huwa tuna ''assume'' kwamba uko peke yako na hakuna mwingine! Ili maisha yawe rahisi na yasiyo na pressure!
na wanaume walicvyo hata kama wameoa, wasipotongoza tongoza marara kwa mara wala hata hawasikii raha.