Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 9,647
- 13,389
Poa bhana Vipi kuhusu utu?
Kiukweli uamuzi wa kukulipia au lah bado ulikuwa wake. Na huo ndio ulikuwa uamuzi wake.
Poa bhana Vipi kuhusu utu?
Habari zenu wana jamii? Naomba kuuliza hivi pale unapokutana na rafiki yako wa muda mrefu kwa mfano umesoma nae sekondari baada ya miaka kadhaa kupita mnakutana kwenye daladala mnasalimiana vizuri na kubadilishana mawazo mawili matatu, ikatokea kwamba yeye ndie anaeanza kushuka kwenye kituo halafu anatoa noti ya sh elfu kumi na kumkabidhi konda. Konda anamuuliza nikate nauli ya wawili? Bila kusita rafiki yako huyo anasema kata mmoja. Ilinitokea juzi kati daaah kiukweli roho iliniuma na kujisikia aibu japokua sikuwa nategemea kulipiwa nauli il a ubinadamu jamani..nimeamini kuna watu wana roho ngumu .

Mara nyingi sana wanaume huwa ni wagumu kusidiana.....
yuko sahihi kutokukulipia
kulikuwa na ulazima gani ya yy kukulipia nauli?kwan ww ulikuwa huna nauli ukamwomb akakataa?tubadilike
Habari zenu wana jamii? Naomba kuuliza hivi pale unapokutana na rafiki yako wa muda mrefu kwa mfano umesoma nae sekondari baada ya miaka kadhaa kupita mnakutana kwenye daladala mnasalimiana vizuri na kubadilishana mawazo mawili matatu, ikatokea kwamba yeye ndie anaeanza kushuka kwenye kituo halafu anatoa noti ya sh elfu kumi na kumkabidhi konda. Konda anamuuliza nikate nauli ya wawili? Bila kusita rafiki yako huyo anasema kata mmoja. Ilinitokea juzi kati daaah kiukweli roho iliniuma na kujisikia aibu japokua sikuwa nategemea kulipiwa nauli il a ubinadamu jamani..nimeamini kuna watu wana roho ngumu .
Kwanza huyo si rafiki yake ni mtu tu wanayefahamiana kwa kuwa wamesoma skuli moja,ila kama huyu mkuu anapenda kulipiwa lipiwa namshauri aje tu huku zenji tutamlipia kila kitu yeye ,mkewe na bintiye!eti hamjaonana muda mrefu ndio akulipie nauli.....
Poa bhana Vipi kuhusu utu?
huo ni upuuzi mwingine!! Kwani wakati unatoka nyumbani kwako hukuwa na nauli yako? Unajua anapoenda? Vipi kuhusu bajeti? Mulipanga wote? Hebu musilete ujamaa wenu wa kijima, kwa nini wewe hukumwambia asilipe ili ulipe wewe? Au wewe ni kilema uliyestahili kusaidiwa????????