Utajisikiaje ikikukuta hii?

Utajisikiaje ikikukuta hii?

Mkuu usione ajabu kwani maisha ya leo unayaelewa lakini??? Inawezekana budget yake hapo alisha OE (Over expend). Sasa angekulipia na wewe huoni kama angeendelea kujitia hasara zisizo na msingi? Pamoja na utu, ni vema kuishi kwa budget kaka
 
Kwa kweli unatia aibu kusema unasikitika sijui nini. Kwani alikueleza ana uwezo wa kukulipia na kukugeuka mwishoni?

Kama ulikuwa na shida kwanini haukumuomba wakati munaongea? Kil mtu ana mipango yake duniani uwezi jua na yeye yukoje.

Kama alikuambia ana hiki na kile ndio nauli ulipiwe, hata baraaka hautapata maana unasononeka na yeye hajui kama katenda kosa.

Siku zingine ukiwa na shida ongea omba kuwa muwazi kwa wenzio. Pia sio mtoa zaidi ndio anaweza kukusaidia, naye ana budget yake. Hata kama alienda nywea bia ni yake.

Acha tamaa na kulalama bila kichwa wala miguu. Uchoyo ni tofauti kabisa na hili jambo, inaonekana weye unalilia kuongelwa shida kwa wenzako ili wakusaidie wakuonapo.
 
Kama unataka kulipiwa nenda Zanzibar. Kila kitu utalipiwa, mpaka chakula na chumba cha kulala
 
Zama hizi sio Primitive communalism,wenye surplus budgets wachache Sana.
 
Mara nyingi sana wanaume huwa ni wagumu kusidiana.....

Lakini wenye ugumu wa kutoa na kusaidiana ni Wanawake.

Utakuwa ndani ya daladala, anaingia mama amebeba mtoto lakini kasichana kadogo au mmama amekaa kwenye kiti na yule mwenye kubeba mtoto amesimama pembeni yake.

kwa kupotezea yule aliyekaa nageukia dirishani kujifanya hamuoni yule mwenye kubeba mtoto.

lakini atakaye simama nakumpisha mwenye mtoto mara zote ni mwanaume tena wakati mwingine utakuta ni babu mzee sana anaamua kumpisha mwenye mtoto akae na babu kusimama.

KINA MAMA SIKU ZOTE WANA ROHO MBAYA SANA INGAWA NI MAMA ZETU LAKINI MMMMHHHHHHH!!!!!

MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!!
 
Habari zenu wana jamii? Naomba kuuliza hivi pale unapokutana na rafiki yako wa muda mrefu kwa mfano umesoma nae sekondari baada ya miaka kadhaa kupita mnakutana kwenye daladala mnasalimiana vizuri na kubadilishana mawazo mawili matatu, ikatokea kwamba yeye ndie anaeanza kushuka kwenye kituo halafu anatoa noti ya sh elfu kumi na kumkabidhi konda. Konda anamuuliza nikate nauli ya wawili? Bila kusita rafiki yako huyo anasema kata mmoja. Ilinitokea juzi kati daaah kiukweli roho iliniuma na kujisikia aibu japokua sikuwa nategemea kulipiwa nauli il a ubinadamu jamani..nimeamini kuna watu wana roho ngumu .
acha ushamba bado unaishi kijamaa? rudi kijijin kwenu. ujamaa mwl aliondoka nao sasa hivi ni self-reliance
 
Watu sio wana roho ngumu,watu wana HALI NGUMU!!!
HAKI NGUMU HUPENYA MPAKA ROHONI,NDIO MAANA WAKIKUTA MTU ANAULIWA NAO WANASHIRIKI KUUA BILA KUJUA KAMA KWELI NI MHALIFU.:A S cry:
 
Wanajamvi bana mnajifanya ni watu wa money management/budget hivi vitu siku zote huwa ni nadharia/theory katika uhalisia there no such thing, sitaki kuamini kwamba wote mliosema budget mahitaji yenu yote kabisa huwa mmepanga kuwa utanunua hiki na hiki. What is mia sita bana!! labda nauli ingekuwa zaidi ya buku 3 hapo hata ukikaza unaeleweka.

Asante baba kelvin Kisa mchango wako..nimependa sana kuna with humu wanajifanya wanajua bajeti sana
 
Na je ungeanza kushuka wewe mkuu ungeweza mlipia rafiki yako?

Sio roho ngumu naweza sema hali ya maisha imebadilika sana, pengine nyumbani familia inamsubiri mke, watoto.

Sasa huoni hapo angeweza kutibua bajeti
 
Kiukweli huyu sidhani kama ni rafiki yako. With wengi wamesema walivyosema ila kiuhalisia hii si kawaida. Ila ushauri wangu kwako ungemlipia pale aliposema kata mmoja. Halafu jifunze kukubali kuwa watu wako tofauti ningekupa kisa fulani we mwenyewe ungecheka. Ila unapaswa kuelewa watu hutofautiana hulka na mioyo. Pia huezi jua hiyo elfu kumi uliyoiona ina mahesabu gani usione watu mjini wanapendeza mifukoni mwao Mungu ndo anajua maduka ya mangi yanasaidia watu wasife njaa. Ungetafakari hayo isingekuuma kiasi cha kuleta thread kama hii.Kuna mtu unamtembelea kwake. Anakua na safari mnakaa siti pamoja na anakata moja sasa si nami ningeleta thread hapa, jaribu kuwaelewa watu tunatofautiana especially katika utoaji. Hivi ni vitu vidogo mno ktk maisha.
 
Asante Kwa uShauri
 
Siyo tatizo lako, kitaalam linaitwa "age-divide". Kutokana na umri wako ama uwamuzi wa kukumbatia uzamani, umeji-condition kuwa na expectations za kijamaaa na ndio maana unaona kafanya kitu cha ajabu. Yeye ana mtazamo tofauti, wa hali halisi ya kisasa, haja ku consult kwanini akulipie? sio kukudhalilisha? kwanza kakukuta kwenye daladala hivyo tayari una budget yako, nothing personal. Usipende vya bure. Badili mtazamo usijiumize kwa mambo madogo.

Habari zenu wana jamii? Naomba kuuliza hivi pale unapokutana na rafiki yako wa muda mrefu kwa mfano umesoma nae sekondari baada ya miaka kadhaa kupita mnakutana kwenye daladala mnasalimiana vizuri na kubadilishana mawazo mawili matatu, ikatokea kwamba yeye ndie anaeanza kushuka kwenye kituo halafu anatoa noti ya sh elfu kumi na kumkabidhi konda. Konda anamuuliza nikate nauli ya wawili? Bila kusita rafiki yako huyo anasema kata mmoja. Ilinitokea juzi kati daaah kiukweli roho iliniuma na kujisikia aibu japokua sikuwa nategemea kulipiwa nauli il a ubinadamu jamani..nimeamini kuna watu wana roho ngumu .
 
Sijaona sababu ya kuona aibu hapo

Maisha magumu

Mjini mipango

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante baba kelvin Kisa mchango wako..nimependa sana kuna with humu wanajifanya wanajua bajeti sana

Mkuu twitybird wabongo wengi tunaishi kinafiki sana kuna thread moja humu ililetwa na jamaa wakati akiwa posta kuna dogo mmoja muuza karanga ktk mishemishe zake akapgna kikumbo na jamaa, karanga zote zikamwagka yule jamaa aliyegongana na dogo akampotezea basi dogo akawa anakusanya zile karanga kuna mwema mmoja ndani ya daladala akamwita dogo na kumpa elf10 kisha akamwambia achana na izo karanga chukua iyo ten kama mtaji ukaanze upya. Huwez amini asilimia 95 ya wachangiaji walimpongeza yule msamaliamwema hamna hata mmoja aliyeongelea suala la budget!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom