Utajisajili vipi katika mfumo wa NIDA unaohitaji taarifa za fingerprint endapo uliungua mikono kwa ajali?

MID_NIGHT

Member
Nov 19, 2023
35
81
Habari wakuu.

Utajisajili vipi katika mfumo wa NIDA unaohitaji taarifa za fingerprint endapo uliungua mikono kwa ajali?
 
Lichukuliwe, awamu ijayo vitafutiwa jawabu lako mana vingi vinakikomo vya awamu ya Kikwete na billion 20 ziliyoyoma na kikomo 2028 vinginevyo awamu ya magufuli visivyo na kikomo vitafanyiwa kazi
 
Lichukuliwe, awamu ijayo vitafutiwa jawabu lako mana vingi vinakikomo vya awamu ya Kikwete na billion 20 ziliyoyoma na kikomo 2028 vinginevyo awamu ya magufuli visivyo na kikomo vitafanyiwa kazi
Dah! Changu kina-expire mwezi novemba 2024, sijui mchakato wa kupata utakuwa mrefu kama wa wengine!
 
Mbona serikal ilishatoa ufafanuzi kuwa wameshaindoa expiry date kwa vitambulisho hivyo
Sikusikiaga, bora kama hivyo aisee! Maana nilivyokuwa nasikia kuna watu wana miaka mitatu hawajapata vitambulisho nikawa nawaza sana kuingia kwenye hilo kundi.

Sisi wa kwanza tuliojiandikishaga mwaka 2014 kama si 2013 yaani hakukuwa na usumbufu kabisa.
 
Back
Top Bottom