Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kuna Mangi mmoja ana hela sana Makumbusho ana duka kubwa, Mwananyamala ana maduka mawili ya rejareja yamejaa full, Kinondoni ana duka na Manzese ana maduka mawili ya Hardware. Sijawahi kumuona amevaa viatu ni Kanda mbili na baiskeli kila nikimuona na simu yake ni Nokia 105 ya miaka 14 iliyopita imefungwa na rababendi. Aisee kwa mujibu wa Wambeya Jamaa huwa anaenda Pemba kwa Mtaalamu kila mwezi.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Eeh nimemjua
 
Acha uzoba, tafuta kimwana, hata wa kumuita dada uchati naye
Nawe ni mtu mzima hovyo na unazeeka vibaya. Akishachat naye then what next. Washauri waende kuchat huko kwenye nyuzi za chatting na sio kwenye nyuzi zingine ambazo hazina uhusiano na chats. Wanaboa kwani kila uzi wao lazima waanze chats za ngono na mizaha ambazo wengine hazituhusu. Hata nyuzi za kidini au za kuelimisha wao wataleta chats za ngono na mizaha.
 
Nawe ni mtu mzima hovyo na unazeeka vibaya. Akishachat naye then what next. Washauri waende kuchat huko kwenye nyuzi za chatting na sio kwenye nyuzi zingine ambazo hazina uhusiano na chats. Wanaboa kwani kila uzi wao lazima waanze chats za ngono na mizaha ambazo wengine hazituhusu. Hata nyuzi za kidini au za kuelimisha wao wataleta chats za ngono na mizaha.
Haha haha haha naona mapovu kama yote. Hapa tunafuata sheria na taratibu za moderators, kinyume na hapo unakula ban.

Wanaochat hapa wangekuwa wanafanya makosa, wangehukumiwa kwa sheria na taratibu za JamiiForums
 
Uchambuzi wa stori hadi hapa tulipofikia


UMUGHAKA Kukosea masharti ilikuwa planned,....hivi ndivyo huu utajiri unavyoenda / unapumbazwa then unakosea masharti. Ili uingie kwenye mfumo then mfanye collective bargaining upya


Hata ujitahidi vipi kujifanya innocent wa kufuata masharti .......lazima Kuna siku utajaa kwenye mfumo


UMUGHAKA ilikuwa lazima akosee masharti ili price itimizwe

References from different movies

shenala the chronicles & Merlin

."....for every magic there is price to pay"
Nakazia hii,maana wanakuambia mfano kila ijumaa lzma umtie maya je ukisafiri?ukiumwa?hapo ndipo mtakubaliana utoe nn kufidia siku uliyoumwa
 
kitalembwa imani yangu inaniambia Umughaka hana roho ya ukatili kiasi cha kufikia kuua mtu/kutoa kafara ya damu through kuua Rey !
Hatamuua Rey Na hapo ndipo majutroo na mziki mnene bifu kati ya masta na Ally mpemba8

( Just guessing lol)
Nawaza hivyo,,, pia ndo story ipo ukingoni, huu mtego wa kuuwa lazima jamaa atachemka,,,, kumbuka anamuelewa Sana Rey,,, ana trackle la maana na ndo ugonjwa wake,,, wacha tuone !
 
Haya mambo haya. Ndo mwishowe unakuja kuolewa na mwanaume kila mkizaa watoto hawaishi wanakufa. Au kila mke anaeoa anakufa. Na unakuta vizazi hadi vizazi hakuna anaeoa. Kumbe mtu aliingizwa mkenge miaka hiyo makosa wanakuja kuyalipa wajukuu
Sasa si ndio pesa zilipo. Na nyie mnataka pesa. Pesa halali ni ngumu kupata asikwambie mtu. Ndio maana wanaume wengi ili awe na heshima mjini anaingia huko mazima it doesn't matter the cost.
Heshima ya Mwanaume Sasa imekuwa equivalent to Money. So haijalishi hiyo pesa itakujaje wataifuata huko huko.... Sema ndio hivyo malipo nayo sio mazuri. Kwake na mtu yoyote atakayekuwa associated nae kama dada rehema.
"THE DEVIL IS NOT YOUR FRIEND". RIDHIKA NA HATA KIDOGO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom