Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
Fafanua umetembelea mikoa ganiNi bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Acha mambo yakujifariji tafuta pesa eti bora kua mia sasa watoto wangu watasomaje na hivyo vimia vimiaNi bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Komamanga mkuuUko maeneo gani?
Real?Mungu alisema,"si vema huyu mtu awe peke yake,nitamfanyia "msaidizi" wa kufanana naye[Kitabu cha Biblia cha Mwanzo,sura ya pili,mstari wa 18(Mwz 2:18)], sio "wasaidizi" wa kufanana naye.Kwa hiyo kuwa na vimada au kuoa wanawake wengi ni kwenda kinyume na maagizo ya Mungu,kwa kuwa hata ndoa ya kwanza ambayo aliifungisha Mungu mwenyewe ilikuwa ya mke mmoja.Put it in another way,kuoa wanawake wengi,uasherati au umalaya/zinaa ya aina yeyote ni kwenda kinyume na maagizo ya Mungu na infact ni kutii maagizo ya Shetani kama nilivyo-tangulia kusema.Niseme hivii,umalaya au zinaa ndiyo dhambi mbaya kuliko dhambi zote,according to the Bible.
Kuna kijana mmoja huku ndani ya miaka 5 amevuma na pesa chafu lakini baada ya kuzidiwa na mateso kaamua kujitoa uhai kwa kujining'iza na kamba. Inasemekana alikuwa kilasiku anatandikwa bakora Kali yeye na mkewe na mtu asiye muona.
Heshima gani ya kishikwa makalio hio..!? Mungu kakupa mfano miaka 93 wewe una ingia kwenye mikataba ya kuoewa mali za kishetani una kuja ku pokwa uhai wako baada ya miaka 7 faida gani sasa hiyo kama sio UTOPOLOUliwafuata waganga wa hayo maeneo Sasa wamekupa intro either ukubali uwe Tajiri au ukatae uwe masikini, au mwenye kipato unachokipata Sasa....
Unasemaje wewemi bado siamini kama unaweza tajirika kwa uchawi.