Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

watu wanafikiri heshima ni kuwa tajiri tu ndo wanajiangiza katika utajiri wa kichawi huku wakiangamiza ndugu zao ili heshima ibaki. matokeo yake ni mabaya mwishowe. heri kukosa mali ila sio akili. tutafute ela kihalali Mungu anaonesha njia.
 
Senior Boss mila za kichaga usipofata ka ni ukoo lazma uangamie bila kupenda watu kuenda kinyume na miiko ya kikoo na familia bora hyo kuliko kutoa mikafara.

mbona ni balaa sana. wanadamu wana mambo sana.
 
Last edited by a moderator:
Ukisikia paa ujue kuna mtu limempata. nina hakika hii post ya Mshana imekushika pabaya

haiwezi kunishika pabaya kwani mimi sio tajiri ila nimetoa tu angalizo kwa vijana waache kukuta tamaa kwa mawazo ya ushirikina.
wafanye kazi na waache kutumia kuzidi wanachotafuta.
 
Aaaah bwana wewe acha ibishi bwana, wakinga wengi walipata utajiri kwa njia za majoka.... unajua nini kuhusu mwakipande

mwakipande alishakufa more than 10 years ago na wakinga wanazidi kuwa matajiri na kuteka miji mingi.
sasa sijui kama nguvu za mwakipande bado zipo.
vijana fanyeni kazi, punguzeni matumizi ya anasa pesa mtaipata na mtakuwa matajiri.
we mauzo yako kwa siku laki 1 aafu unaenda kula starehe 80000 sasa si umekula na mtaji?
 

Haaaaaa haaaaaa u made my day!
 

aisee kazi kweli kweli,,ila kwann wasiwe wanatumia za wanyama tuu,,inakuaje kuaje mpk wanafkia kutoa uhai kabisa? na km ni damu bas kwann hata wasingekua wanaenda kuiba ama kununua za kwenye mabenk ya damu mahospitalini?

nahisi nahitaji ufafanuzi zaidi katika mechanism ya kuua mtu na kupata utajiri asee!
cc mshana jr
 
Last edited by a moderator:
The sad part is this, when these people die, they all go to hell. Why can't you ask God to bless you?

Proverbs 10: 22 The blessing of the LORD, it maketh rich, and he addeth no sorrow with it.

I love you Jesus.


Stories about hell and heaven to many people seem non sense!
Wanasema hakuna kitu kama hicho, maisha ni hapa hapa duniani na ukifa ndiyo mwisho. Hivyo hufanya kila juhudi ya kufurahia maisha ya duniani kwa kujipatia utajiri kwa njia yoyote ile iwe haramu au halali.
Kuna matajiri wengine japokuwa ni washika dini wazuri katika madhehebu yao lakini hudhulumu wanyonge haki zao!
 

Wanafikia kuua binadamu wanapofika level fulani ya utajiri
Ni lazima utoe damu inayokuhusu na itakayokuuma hili ni sharti kubwa sana na muhimu
Damu lazima iwe ya moto tena hai, ile ya kwenye bank ya damu sio ya moto tena sio hai kwa kuwa uhai umebaki na mtoaji damu
Damu ya mtu uliyemuua ndio muhuri na kitambulisho cha kuzimu vibebavyo utajiri wako
 
Last edited by a moderator:
Utajiri mzuri ni kuwa na furaha na familia yako, sio kuwaua. Pesa haileti furaha

Na furaha ya familia huwa na maana zaidi kama hakuna changamoto zinazohitaji pesa kuzitatua
 
vica of christ au?habari ya kubusu pete ya askofu na kupata baraka!!!Kuzika mabaki ya watakatifu kwenye miimbali!!moon and sun god-Mshana ukisikia watu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa habari ndo hiyo!!
 
vica of christ au?habari ya kubusu pete ya askofu na kupata baraka!!!Kuzika mabaki ya watakatifu kwenye miimbali!!moon and sun god-Mshana ukisikia watu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa habari ndo hiyo!!

Ni vema tusiingie kwenye kukashifu imani za wengine Kiyoya! Mambo kama hayo yanafanyika rasmi na mbele ya wote na yana maelezo na ufafanuzi wake! Uchawi hauna
 
Last edited by a moderator:
kuna watu waki dhulumiwa hata mia fasta wanapanda ndege home kuchinja ng'ombe!!
 
Ni vema tusiingie kwenye kukashifu imani za wengine Kiyoya! Mambo kama hayo yanafanyika rasmi na mbele ya wote na yana maelezo na ufafanuzi wake! Uchawi hauna
ok okay mkuu ila mambo yanatisha sio kidogo
 

mkuu sio wote ila wengi wenu kwa ugagula na kuwafanya ndugu zenu mandondocha ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…