Utajiri wa kidonda

Utajiri wa kidonda

Wakome tu, ikiwezekana waongeze masharti wawe wanaramba hilo donda tena kwa kulipiga romance
 
Kwa kweli watu wana roho ngumu sasa hapa mbona utakosa amani pamoja na hizo hela. Kwa kweli hapana
 
Yupo jamaa namfahamu yeye kila mwisho wa mwezi nasikia lazima alawitiwe,tarehe kama hizi unakuta analewa tuu na kulala huko mabar na ndio wanamtafunia huko
Siku akikutana na mwenye kulawiti mwenye maambukizi ya H.I.V akamwachia virusi je vita ya afya........
 
Yupo jamaa namfahamu yeye kila mwisho wa mwezi nasikia lazima alawitiwe,tarehe kama hizi unakuta analewa tuu na kulala huko mabar na ndio wanamtafunia huko
Nanyi mumsuse msimlawiti akome shenzi kabisa
 
Back
Top Bottom