Heading ya mleta hoja inasema-UTAJIRI WAGESI UMEPOTELEA WAPI?Eti gas yako! Mleta mada kahoji how come hamna lolote kuhusu gas iliyokuwa iliyokuwa inapigiwa mbiu na akina Muhongo hadi kufikia kupeleka polisi!
Nilichofanya ni kutofautisha kati ya gas waliyokuwa wanaisema akina Muhongo ambayo haijachimbwa hata kidogo na gas ya Mnazi Bay ambayo ndiyo walipelekwa polisi!
Sasa hoja yako kwamba am appraising stupid politician inatoka wapi?! Hiyo gas ilikuwa explored na politicians?
Hivi we jamaa unaelewa Kiswahili?! Hoja ni kwamba huo utajiri upo wapi?!Heading ya mleta hoja inasema-UTAJIRI WAGESI UMEPOTELEA WAPI?
Mimi katika mazungumzo yangu nikauhusisha huu utajiri wa gesi na tunavyosimuliwa na hawa wanasiasa kwamba wananchi tutafaidika moja kwa moja badala yake imekuwa tofauti.
Nikazungumzia pia kuhusu diamond, Urenium,Gold and all shit likely tumekuwa navyo miaka mingi sana havijatusaidia lolote.
Sasa wewe mkuu umekomaa gas hii ni tofauti na ile,ooh ile iliyogunduliwa Ntwara ni ya deep sea "come on" ikiwa ni ya maji marefu itatusaidia nini ikiwa vitu vingi tulivyokuwa navyo wanasiasa wanashirikiana na matepeli wa dunia kututia umasikini.
Unasema kwamba gas imegunduliwa na wanasiasa? kwamba wao ndiyo walifanya exp? unawatenganishaje wanasiasa na haya mambo,dhahabu zote zilizoibiwa zilikuwa chini yako wewe MHENGA?
Mkuu uwe makini sana na vitu unavyovizungumza hapa,unasema madini siyo big deal? serious?Hivi we jamaa unaelewa Kiswahili?! Hoja ni kwamba huo utajiri upo wapi?!
Now; utajiri wa kitu gani au unaotokana na nini?!
Kutokana na swali la mleta mada; obvious jibu ni utajiri unaotokana na gas!
There follows another question: Gas ipi?!
Hapo ndipo tunspoanzia! Wanaofuatilia sekta ya gas wanafahamu kuna offshore na onshore gas discoveries.
Hiyo ya deep sea offshore haijachimbwa hata tone! Hizo trillions of cubic feet ni hizo za deep sea ambazo mbali na exploration hakuna kilichofanyika hadi sasa! Hiyo ya Mnazi Bay ni ya muda mrefu na imechimbwa and it's not a part of new discoveries.
Sasa oh, madini mbona hivi madini mbona vile inahusiana nini na gas?! Kwanza wanaoona madini ni big deal si ni nyie msioifahamu vizuri hii sekta! Kwa mtu kama mimi hata huyo JPM or anyone else naona anatumia nguvu nyingi mno but marginal productivity katu haiwezi kuwa kama anavyodhani! Viongozi wa sasa tutasema mafisadi; Nyerere aliifikisha wapi Tanzania na almasi ya Mwadui?!
Haha, sasa hivi tunaimbishwa Uchumi wa Makinikia...eti na Viwonder!Miaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya gesi asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatuambia sasa umasikini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua uchumi wa gesi, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umasikini umewadia.
Nani asiyemkumbuka Prof. Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka Polisi na Jeshi kudhibiti watu kule Kusini ili uchimbaji wa gesi ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na Urusi ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gesi.
Cha kushangaza, hakuna tena anayeongelea kuhusu uchumi wa gesi wala kuuaga umasikini kupitia uchumi wa gesi.
Huu utajiri wa gesi umepotelea wapi hivi?
Wewe ndo hufuatilii...nyinyi maccm si ndo 2015 mliahidi kuwa Umaskini sasa basi kwa kuwa kuna gesi Mtwara? U shitholes!yawezekana hufuatilii masuala ya nchi yako, ila umeendekeza siasa. gesi haijaanza kuchimbwa, ila mchakato unaendelea na sasa mazungumzo ya kujenga NLG plant mkoani lindi kwa makampun washirika na serikali unaendelea. mchakato wa gesi is not an overnight event, it is a process, inapitia procedures mbalimbali. ges inayotumika sasa ni ya mda mrefu kutoka msimbati na songosongo, na ndio inayosafirishwa kwa bomba hadi dar es salaam. kama hujui jambo ni vema ukatafuta taarifa sahihi kuliko kubwabwaja tu mitandaoni
Concern ya muanzisha thread ni kuwa mbona gesi haijapelekea kupungua kwa gharama za umeme au nishati ya kupikia kwa ujumla kiasi ya kwamba manufaa yake yakamgusa mwananchi moja kwa moja?yawezekana hufuatilii masuala ya nchi yako, ila umeendekeza siasa. gesi haijaanza kuchimbwa, ila mchakato unaendelea na sasa mazungumzo ya kujenga NLG plant mkoani lindi kwa makampun washirika na serikali unaendelea. mchakato wa gesi is not an overnight event, it is a process, inapitia procedures mbalimbali. ges inayotumika sasa ni ya mda mrefu kutoka msimbati na songosongo, na ndio inayosafirishwa kwa bomba hadi dar es salaam. kama hujui jambo ni vema ukatafuta taarifa sahihi kuliko kubwabwaja tu mitandaoni
Limekuwa bomu sasa....vijana wa pale dit wamekosa hadi field...waliohitimu udsm oil and hawajui waende wapi... Yaani hii serikali kwa kukurupuka sijui ikoje...watu wakaenda kusoma Bsc in oil and Gas!!!
Daah yaani wanasiasa sina hamu nao. wanaweza wakakufan6a ukala hata mavi
AlHmduLILLAHI.Safi sana mkuu, maelezo yako yamejitosheleza. Nimelizungumzia mara nyingi suala hili humu lakini inaonekana wengi hawana ufahamu sahihi juu ya suala la gas ya mtwara ikiwa ni kwa kutofuatilia taarifa mbalimbali zihusuzo nchi yao au wadau kutotoa elimu ya nini kinachoendelea hadi sasa kwa gas ya mtwara.
Kama ambavyo umeandika hapo juu, mkuu wa nchi inaonyesha alichotilia mkazo kwa sasa ni madini tena sana sana ni dhahabu pekee labda na tanzanite kidogo. Viwanda kiukweli bado sijaona ameweka mkazo sana. Endapo angekuwa "serious" na kuchukulia kwa "uzito" kama alivyofanya kwenye sgr, dhahabu, stieglers gorge (ingawa sijui tuta-finance vipi kwa billions of USD) basi tungeshapiga hatua fulani.
Tukirudi kwenye gas ya mtwara, kuwekeza trillions almost 70 za Tanzania si jambo la kukurupuka tu. Kuna vitu vingi lazima mwekezaji aangalie hasa kwenye kodi. Mara nyingi huwa wanapenda kupewa incentives fulani(ambazo zinaweza kuwa za kinyonyaji pia) ili warudishe haraka invested capital na kuanza tengeneza faida. Sasa nadhani wameona kwa sera za kodi za utawala huu ni bora kwanza wasubiri.
Hali hii pia ndio iliyoikumba chuma cha liganga na makaa ya mawe ya mchuchuma vitu ambavyo ni msingi mzuri wa heavy industries lakini mkuu huku ni kama vile hakuoni.
Kwahiyo unahusisha suala la u-shithole na mimi kusema madini sio big deal, which means, am a shithole!!!Mkuu uwe makini sana na vitu unavyovizungumza hapa,unasema madini siyo big deal? serious?
Nimegundua kitu hapa baada ya maongezi haya kati yangu mimi na wewe kwamba tupo Watanzania wa tofauti tofauti sana.Ndiyo maana tunaitwa shithole akili zetu tulio wengi zipo kiuoni.
Asante mkuu one day yes anyway, tutapata maendeleo na hivi vitu, ngoja kwanza sasa hivi waibe ibe kwanza then wakishiba watatuachia tununue hata vi laptop tuwawekee vijana wetu kule Montukupole shule ya msingi tufute ujinga angalau.
Vipi mkuu lini unaenda kusaka mishe huko kwa Marehemu colonel Muamari Ghadafi Libya, jamaa wako poa sana wale,ha ha ha!!
FactKama kuna mtu anamatumaini na serikali ya ccm kuwa inadhamila ya kufuta umaskini kwa raia wake bc huyo mtu ufikiri wake una mapungufu makubwa mnoo.. ccm furaha yao kubwa ni kuona wananchi wanaendelea kuwa maskini ili iwe rahisi kuwatawala... Hakuna mwana ccm yyte kwa ngazi yyte ana hiyo dhamira ya kuondoa umaskini hapa Bongo....
Hiyo gesi ya songosongo na msimbati inatumika wapi mkuu?yawezekana hufuatilii masuala ya nchi yako, ila umeendekeza siasa. gesi haijaanza kuchimbwa, ila mchakato unaendelea na sasa mazungumzo ya kujenga NLG plant mkoani lindi kwa makampun washirika na serikali unaendelea. mchakato wa gesi is not an overnight event, it is a process, inapitia procedures mbalimbali. ges inayotumika sasa ni ya mda mrefu kutoka msimbati na songosongo, na ndio inayosafirishwa kwa bomba hadi dar es salaam. kama hujui jambo ni vema ukatafuta taarifa sahihi kuliko kubwabwaja tu mitandaoni
Mkuu nafahamu yote hayo unayoyasema,kitu ulichonifurahisha ni vile ulivyosema kwamba kwa akili yangu nafikiri kwamba sisi tunazalisha dhahabu nyingi kuliko hata South Africa acha utani Mkuu,ha ha ha ha!Kwahiyo unahusisha suala la u-shithole na mimi kusema madini sio big deal, which means, am a shithole!!!
I'll hold my tongue back lakini siwezi kukulaumu manake wewe ni miongoni mwa mamilioni wenye mawazo kama yako!! Ni wale ambao huwa mnaangalia upande mmoja tu wa shilingi... thamani, and in fact, bei ya madini na sio abundance yake na multiplier effect iliyopo kwenye sekta ya madini!
Mchumi hawezi kuangalia bei peke yake bali ataangalia "abandunce" itakayo-determine value of sales and thus revenues na multiplier effect ya sekta husika!!
Narudia... siwezi kukulaumu na katu sitathubutu kusema ndo maana tunaitwa shithole simply because hufahamu hilo suala manake, am hata nikikuuliza nitajie nchi moja iiyotajirika kwa madini, sidhani kama unaweza kuitaja!!!
Leo hii nikikuuliza Australia, one of the world's largest gold producer wanazalisha tani ngapi za madini kwa mwaka na wanaingiza kiasi gani; am sure huwezi kutaja labda kwa msaada wa Google kwa sababu hii sekta huifahamu na wengi hawaifahamu na wanaishia tu kuangalia thamani labda ya kg moja ya dhahabu ni kiasi gani bila kuangalia how much the country can produce!
Narudia... siwezi kukulaumkwambau! Labda tu nikupe assignment moja! Kwenye assignment hii, sitataja shithole countries bali nitataja nchi kama US.
US ni among top gold producers duniani... ipo kwenye top 5! Migodi mikubwa kuliko yote kwa North America ipo USA hususani jimbo la Nevada. Chukua mfano wa Goldstrike unaomilikiwa na Barrick Gold na Carlin Trend unaomilikiwa na Newmont.
Fanya assignment for your own understanding ili ufahamu, hiyo migodi miwili ambayo ni largest gold mines in North America na pia ni among largest gold mine duniani wanazalisha tani ngapi kwa mwaka kisha fanya mahesabu hiyo migodi miwili mikubwa kabisa North America wanaingiza dollar "trillion" ngapi unless kama unaamini Wamarekani nao wanaibiwa!
Kwa kukusaidia, 1kg of gold from gold ni wastani wa TZS 40M - 45M.
Ukipata jibu, vuta taswira ya kuangalia nini unaweza kuwa uwezo wa migodi yetu ambayo, very unfortunately, kwavile perception yenu kubwa ni kwamba dhahabu ni utajiri kochokocho, I doubt kama una haja ya kuambiwa uwezo wa migodi yetu! Lakini pamoja na yote hayo, sitaacha kukushangaa ukiamini Tanzania tunazalisha dhahabu nyingi kuliko hata Afrika Kusini!!!!
Na hapa ukitumia uwezo wako wa kufikiri sawa sawa utafahamu ni kwanini nimekuambia madini, especially gold not a such big deal at country economic level!