Makinikia ya gesiWqshauza miaka ijayo atatokea mwingine nae atataka kuchunguza makanikia ya gesi
miaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya GAS asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatwambia sasa umaskini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua UCHUMI WA GAS, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umaskini umewadia.
Nani asiyemkumbuka Prof Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka POLIS na JESHI kudhibiti watu kule kusini ili uchimbaji wa GAS ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na URUSI ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gas
CHA KUSHANGAZA, hakuna tena anayeongelea kuhusu UCHUMI WA GAS wala kuuaga umaskini kupitia UCHUMI WA GAS.
HUU UTAJILI WA GAS umepotelea wapi hivi??
Nawe umeanzisha thread?????? Utajiri unataka uwe unatangazwa kwenye kipindi gani ndiyo uridhike?miaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya GAS asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatwambia sasa umaskini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua UCHUMI WA GAS, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umaskini umewadia.
Nani asiyemkumbuka Prof Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka POLIS na JESHI kudhibiti watu kule kusini ili uchimbaji wa GAS ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na URUSI ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gas
CHA KUSHANGAZA, hakuna tena anayeongelea kuhusu UCHUMI WA GAS wala kuuaga umaskini kupitia UCHUMI WA GAS.
HUU UTAJILI WA GAS umepotelea wapi hivi??
Mleta uzi anasahau mswaada ulipitishwa usiku wa manane, wapinzani hawahawa wakiwa wamefukuzwa ukumbini na spika. Ile ilikuwa kuiuza gas hiyo kwa mikataba sawa na ya madini mengine. WaTz hatuna wa kumlaumu tujilaumu wenyewe kwa kuendekeza uongozi huu wa CCM.Serikali laghai huwa hazina mipango madhubuti inayoeleweka zaidi ya blah blah zenye kulaghai wananchi wake kwenye majukwaa ya kisiasa
Ngoja waliowekeza pesa zao wavune kwanzaMtasubiri sana huo uchumi wa gesi. Kilichobakia tusubiri kwanza wachina washibe wakisaza, makombo (mashimo tupu) halali yetu!