Anzisha thread yake hapa acha watu wajikanyage kuhusu utajiri wa Mbowe. Kuna watu wanadhani Freeman ni 'mtoto' pekee wa mzee Mbowe kwa hiyo wanahalalisha mali zake na urithi, nendeni Mkamuulize Chale kaka yake Freeman urithi wao ulivyogawanywa, na kwa nini yeye Chale sio milionea kama kweli baba yake aliwaachia utajiri.