Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,657
Wala hajawahi kukwiba pesa za NSSF
Weewe umetumwa...kufanya kampeni za siasa hapa kitu ambacho wajanja wengi wameishastukia..... Kila post unayoweka ni siasa tu ndani ya siku mbili kama sio moja tangu umeingia ni yale yale yale up to 33 posts... Uliingia hapa juzi 26 June. Fanya kazi yako ukichoka utaondoka tu... Bora ungeanzisha mada zingine sio za siasa.
Ndo mawazo finyu ya wavaamagwanda kila mtu anatumika km nyie tena mnatumiwa km toilet paper alaf mnatupwaKuna mijitu mingine huwa inakubali kutumiwa vibaya, loh, hii thread nadhani uliandika bila kutawaza baada ya kuwa umetumika
o.k kumbe alikopo!kama ni hivyo sioni tatizo lipo wapi!labda kuwe na jingine lililojificha,tusubili majibu ya mr nduka!!!
Kawaulize kwanza walioichafua thitiem hadi wanataka kujitoa magamba,sijui siku 90 baado,baada ya hapo kamuulize Rizi 1Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo
tehehehee! peopleeeeeeeeTupe rekodi km mh. Mbowe alifanya ufisadi,ujambaz,uuzaji madawa ya kulevya, biashara haramu, ama kama baba yake alitumia cheo chake kukwiba mabilioni ya waTz akampa. Km huna recod ya hata kimojawapo, NENDA KWA GAMBA MWENZIO RIDHIWANI KIKWETE MUULIZE YE KATOA WAPI UBILIONEA WAKE?
walahi naskia rahaaaa loolNaona umejiunga jumapili na Haraka sana umeanza kuleta ukurutu wako humu!!!!!!!!!!!!!!
thumb up for you! Well saidhuna sababu ya kujudge, kwanza hayakuhusu na ukome kuulizia masuala ya mwenyekiti wetu. Ulizia utajiri wa magamba wote then ulete ripot hapa jamvin then utapewa za mwenykit wetu mpendwa
Hajawahi kuwa serikalini na hajawahi kukawa
na bishara ya magendo au kukwepa kodi
kwani anamiliki mali zipi na zipi?ungetuolezeshea unazo zijua ilituweze kumhoji kilahisi,na pia naomba utuainishie nizipi ambazo unawasiwasi nazo ili tuconcetrate zaidi wakati wa kumhoji.Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo