THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,855
- 15,196
Billion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!
kwa mshahara ule wa laki nane hawezi,labda kama alikopa akainvestWatanzania tupunguze MAJUNGU tuchape kazi, kama utajiri wake ni wa kifisadi au wa kihalali nchi yetu inavyombo vya uchunguzi vitabaini ukweli!
Kuwa tajiri sio tatizo, tatizo umeupataje huo utajiri, huenda amekopa Bank, analima mazao ya biashara nk, au
Kwani haturuhusiwi kuwa matajiri?
Kumiliki kampuni haiitaji uwe na mapesa mengi unaweza kununua hisa tu na,tayari unakuwa mmiliki wa hiyo kampun au hiyo biashara.Kuna wakati mwingine kuna magazeti yapo kwasababu ya kuchafua wengine. Hivi Una bilioni mia moja unaweza kuwa mmiliki wa Timu Inayoshiriki EPL? Hiyo pesa utaweza kununua wachezaji kama Yohane cabaye au CHEIKH TIOTE ambao wote thamani Zao ni Zaidi Pesa hizo? kwa
ndio mkuuKumbe kawekeza pale simba
dah vizuri sanandio mkuu
Billion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!
kigamboni bridge inatosha,,sio lazima lipewe jina la mtuDaraja liitwe NSSF BRIDGE.
Fedha zilizotumika ni za makato yawadau wote wa NSSF na sio za huyo jamaa yenu.
Wazo la maradi lilikuwa la jopo la wataalam na sio yeye mwenyewe.
acheni ulimbukeni
lazima tumpongeze amejitahidiKumiliki kampuni haiitaji uwe na mapesa mengi unaweza kununua hisa tu na,tayari unakuwa mmiliki wa hiyo kampun au hiyo biashara.
Kuwa mmiliki siyo lazima uwe na hela nyingi. Yeye atakuwa amenunua shares kiasi fulani ambazo zinamfanya kuwa mmiliki wa timu kwa kiasi alichoweka. Mwenye shares nyingi ambaye ni Mike Ashley ndiye mmiliki mkuu na mtoa maamuzi. Kwa ufupi Dau ni mmoja wa wamiliki wengi.
weka majina unamwogopa nani hapa,?who is mlimani tower?Derm Towers na Mlimani Towers zote hizi ni mali za mashemeji zake ambae wote wamepewa kazi za umeme na consultancy katika miradi mingi ya NSSF..
nani kasema?ni mali ya Dau?
Hivi kama una hisa 0.01 au hisa 4 ujui kwamba wewe ni mmiliki wa kampuni tayari nenda pale DSE wakueleze umiliki wa kampuni unakuwaje ukinunua hisa.Billion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!
JK pia ni shabiki mkubwa wa Newcastle.Hii habari sio bure kutakuwa na chembe chembe za ukweli.Nilisomaga na mtoto wake pale Mzizima miaka ya 2003, alikuwa anaipenda kweli timu ya Newcastle kiasi ikabidi aende uingereza kuishabikia vizuri, sasa ndio nimeelewa
Dau amekiuka Azimio la Arusha..linasema,"Ni marufuku kwa kiongozi yeyote kuwa na hisa katika makampuni yeyote,wala kumiliki biashara yeyote ile"Mnaruhusiwa ila uwe tajiri kihalali
weka majina unamwogopa nani hapa,?who is mlimani tower?