Hili nitalifanyia kazimganga hatoi utajiri kwanza hata yeye utajiri hautaki akiwawa na sababu zake anachofanya mganga ni kukuunganisha wewe (mteja) na majini ambayo ndo yanatoa utajiri lakini pia ili kuepuka complication unaweza kuwasiliana na majini moja kwa moja bila uwepo wa mganga kinachotakiwa ili uingie ufalme wa giza ni damu alafu eleza unachotaka majini yapo mengi kila sehemu yatakuja fasta kukusikiliza na kukupa unachokitaka.
Sijui kizungu bro.....What are you ready to offer to have it all?
Kwanza uwe nacho hicho unachokifanyia ubahili, vinginevyo ni hewa.Utajiri ni UBAHILI hayo mambo mengine unapoteza MUDA tu