Utajiri unatafutwa kwa njia ya giza

Utajiri unatafutwa kwa njia ya giza

Endapo ingekuwa kama kweli utajiri unapatikana kutokana na nguvu za giza, uchawi au ushirikina, basi bara la Afrika lingekuwa linaongoza kwa watu matajiri zaidi hapa duniani. Hata orodha ya "Top Hundreds" ya Watu Matajiri zaidi duniani yote ingetawaliwa na Waafrika.
Nani alikuambia Africa ndio inaongoza kwa uchawi!?,kwa taarifa yako ulaya na Asia ndio mabala yanayoingoza kwa ushirikina na uchawi.
 
Umeacha neno "bidii"
Hiyo bidii ni kwenye nini ? (Fafanua)

Maana kama ni kazi watu wanafanya 24 hrs ,kama ni kulima watu tunalima mpaka migongo inapinda aisee...!

Jibu ni moja tu kuwa...

Utajili ni process inayohusisha mambo mabaya kwa ujumla yaani nikimaanisha hao matajili wote unaowajua 98% ni wanachama wa giza na roho mbaya.
 
Paragraph ya mwisho ndio jibu sahihi.
 
Back
Top Bottom