Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,443
- 7,979
mganga ile ni kazi ameridhika nayo mganga sio maskini lakini pia mganga hatoi utajiri anakuunganisha wewe (mteja) na majini (yanatoa utajiri)Uchawi huwezi kukufanya upate hela mganga mwenyewe anaishi sehemu chafu watoto wake wanasoma shule chafu dumu fagio ndo aje akupe utajiri