Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,907
- 21,387
"Satan can't and never gives a free gift" Atakupa wewe muhitaji materialist faraja lakini he must bite back your family later days!
Through my studies msaada wowote utolewao na shetani, aidha katika biashara zako, kazini kwako, kwa lengo la promotion au kupanda cheo au biashara itoke kwa nguvu kubwa kina athari kubwa ya siku za usoni hasa kwa wanafamilia wa muhusika.
Usije ukashanga wewe mnufaika wa ushirikina ukasomesha mtoto mpaka Cambridge anapohitimu akaja kukataa kufanya kazi na akaanza kuvuta bangi kiasi cha kukushangaza mzazi, au hata akajakuwa mfanyaji wa mambo ya kukuaibisha mzazi ukakosa la kufanya.
All what we see other family kuchetuka kiajabu ajabu huwa inasababishwa na shetani katika kuja kudai ujira wake baada ya wewe Baba au mama kupatiwa kahiridhi pengine kenye herufi chache tu za Kiarabu.
Tunayaona mitaani!