bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,345
- 25,324
Ni lazima ufanikiwe kiroho ndipo ufanikiwe kimwili
Lazima uwe na positive mind kuelekea utajiri kuliko negative vibe.Ni lazima ufanikiwe kiroho ndipo ufanikiwe kimwili
Wewe ndiyo layman kabisa. Huna elimu ya ulimwengu usioonekana.Tafuteni hela hakuna Cha nn Wala nn na kama hela hazikutaki hata uue mutu bado hutapata
hapan sijui niambie ni nani yupo nyuma yao ? Na hao reptile ni watu wa aina gani ?Yule ni reptile unajua nani yupo nyuma yao
Rothschild ndo back up ya Elon musk kivipi ?Rothschild hahahaa
Back up ya msoga ni ipi mkuu?Elon Musk ana back up, Bill ana back up, Mark na wengine wote uwajuao wewe.
Back up power ni ROHO, na back up person ni mtu. Mtu huyo ndiyo wengi tunamuita destiny helper etc. ROHO hutumia miili ya wanadamu ili kujibu haja za watu wao wawaombazo.
Lazima uwe na roho ovu au roho ya NURU kama back up. Ukienda peke yako peke yako HUWEZI kutoboa. Na ukitoboa wenye back up ovu watakinyang'anya hicho ulicho nacho kwa kuwa hakina ulinzi.
Kila ROHO inapambana kutafuta utajiri na kuupeleka kwa wale wanaoziomba hizo roho, hivyo kuwarahisishia kazi na kufanya wasitumie nguvu nyingi zaidi, kwa masharti nafuu yanayotekelezeka.
Mungu anakupa UTAJIRi kupitia WATU, shetani anakupa UTAJIRI kupitia WATU.
Mtu utakayekutana naye maishani atakayekuvusha na kukupa connection ya pesa nyingi, basi jua kuna malaika alitumwa na ROHO uliyoiomba kum drive mtu huyo ili akupe hitaji lako. Hii ni elimu ya kiroho.
Kama huna back up basi anza sasa kuisaka na kujinyenyekeza mbele ya back up hiyo. Otherwise utaendelea kusindikiza wenzio.
Sasa cha ajabu katika maisha yangu mara nyingi msaada napata kwa watu wa imani tofauti na yangu hapa Roho inahusikaje?Elon Musk ana back up, Bill ana back up, Mark na wengine wote uwajuao wewe.
Back up power ni ROHO, na back up person ni mtu. Mtu huyo ndiyo wengi tunamuita destiny helper etc. ROHO hutumia miili ya wanadamu ili kujibu haja za watu wao wawaombazo.
Lazima uwe na roho ovu au roho ya NURU kama back up. Ukienda peke yako peke yako HUWEZI kutoboa. Na ukitoboa wenye back up ovu watakinyang'anya hicho ulicho nacho kwa kuwa hakina ulinzi.
Kila ROHO inapambana kutafuta utajiri na kuupeleka kwa wale wanaoziomba hizo roho, hivyo kuwarahisishia kazi na kufanya wasitumie nguvu nyingi zaidi, kwa masharti nafuu yanayotekelezeka.
Mungu anakupa UTAJIRi kupitia WATU, shetani anakupa UTAJIRI kupitia WATU.
Mtu utakayekutana naye maishani atakayekuvusha na kukupa connection ya pesa nyingi, basi jua kuna malaika alitumwa na ROHO uliyoiomba kum drive mtu huyo ili akupe hitaji lako. Hii ni elimu ya kiroho.
Kama huna back up basi anza sasa kuisaka na kujinyenyekeza mbele ya back up hiyo. Otherwise utaendelea kusindikiza wenzio.
Canonical books.....lakini kwa nini wslifanya summary?Ndiyo mtazamo wako kuwa hakuna cha Mungu wala shetani? Ok! Ila uzi huu kuuelewa ni lazima uamini uwepo wa nguvu zisizoonekana. Si unaamini holy scriptures.
Maluweluwe tu,Back up ya Elon musk ni nini?
Elon Musk ana back up, Bill ana back up, Mark na wengine wote uwajuao wewe.