Utajiri ni suala la back up power nyuma yako

Wewe si ndo umenijibu hapo kwamba hizo back up haionekani kwa Macho ya nyama, nkakuuliza Wew mwenye macho mengne tofaut na haya yetu ya nyama basi utupe elimu mpya hiyo ya Macho mengne yanayotumika kuona ambayo sis wengne hatuna, naona tena Unaruka swali.

Na pili, Nguvu zisizoonekana wew umewezaje kuziona ? Umeziona kutumia nini
Nguvu zisizoonekana kwa macho ya nyama, zinaonekana kwa macho ya kiroho... nikiendelea kukujibu kwa approach hii ya 'u-roho', nitakupoteza kwa sababu ili uelewe majibu yangu itatakiwa uwe ngangari kwenye elimu ya kiroho. Sidhani kama upo ngangari kwenye hilo. But maybe you are!
 
We twende tu nijibu kwa namna yoyote ambayo unauelewa nayo,

sawa kwahyo back up ya Elon musk kutumia macho yako ya kiroho yamekuonyesha Back up yake ni kitu gani au mfano wake upoje ?
 
Okay! But I believe on them... kuna sehemu yoyote katika hizo hadithi yenye mkanganyiko iliyofanya usiziamini?
Ngoja nikueleweshe,

Mafanikio kwa kiasi kikubwa yanatokana na bahati. Bahati ni mchanganyiko wa vigezo vilivyopo nje ya uwezo wako. Bill Gates alitumia analogy akasema;

Kwanza alizaliwa marekani, hiyo ni bahati, Alizaliwa me sio ke, hiyo ni bahati, Alizaliwa mzungu sio mweusi, hiyo ni bahati, Familia ya kishua, bahati, Akapelekwa shule inayotoa masomo ya kompyuta, enzi hizo teknolojia ya kompyuta ndo imeanza, hiyo nayo ni bahati.

Sasa imagine angezaliwa mweusi, au ke, au maskini, au angezaliwa afrika, hivyo vitu vidogo vidogo vingemletea vikwazo.

Luck is a combination of unique circumstances.

Na ndio maana hata wasio na hiyo 'backup' yako ya kiroho wanafanikiwa; waislamu, wahindi, atheists, wote wana imani tofauti na yako ila wapo waliofanikiwa.
 
We twende tu nijibu kwa namna yoyote ambayo unauelewa nayo,

sawa kwahyo back up ya Elon musk kutumia macho yako ya kiroho yamekuonyesha Back up yake ni kitu gani au mfano wake upoje ?
Roho ni nini? Roho ni kiumbe ambacho hakiishi kwenye ulimwengu huu wa damu na nyama. Pia roho ni neno kwa mujibu wa Biblia! Unaiamini Biblia Takatifu?

Hivyo, Biblia imeweka bayana kuwa kuna roho mbili zinazokinzana, NURU na giza. Hivyo kwa mafanikio makubwa makubwa duniani, ni lazima uwe na back up moja kati ya hizo mbili. Elon MUST have one.

Narudia, unaiamini Biblia Takatifu?
 
Ngoja nikueleweshe,

Mafanikio kwa kiasi kikubwa yanatokana na bahati. Bahati ni mchanganyiko wa vigezo vilivyopo nje ya uwezo wako. Bill Gates alitumia analogy akasema;

Kwanza alizaliwa marekani, hiyo ni bahati, Alizaliwa me sio ke, hiyo ni bahati, Alizaliwa mzungu sio mweusi, hiyo ni bahati, Familia ya kishua, bahati, Akapelekwa shule inayotoa masomo ya kompyuta, enzi hizo teknolojia ya kompyuta ndo imeanza, hiyo nayo ni bahati.

Sasa imagine angezaliwa mweusi, au ke, au maskini, au angezaliwa afrika, hivyo vitu vidogo vidogo vingemletea vikwazo.

Luck is a combination of unique circumstances.

Na ndio maana hata wasio na hiyo 'backup' yako ya kiroho wanafanikiwa; waislamu, wahindi, atheists, wote wana imani tofauti na yako ila wapo waliofanikiwa.
Unajuaje kama hao uliosema wanafanikiwa, hawana back up YAO ya kiroho?
Bahati it's all about timing, yaani vitu kadhaa vinakutana katika wakati sahihi, unajua driving power ya kusababisha vitu hivi vikutane kwa mtu husika, inatoka wapi?

Mfano kwa Bill Gates uliutoa, hivyo vyote kwake vilikuwa kwenye timing, yaani wakati sahihi, unajua nani ali drive itokee hivyo?

Okay, kwani hakuna Wazungu wengine ukiacha Bill Gates ambao walizaliwa familia za kishua kuliko ya Bill Gates? Walisoma shule moja ya computer kama Bill Gates? So why ni Bill pekee akawa TAJIRI kuzidi wao?

Tunaweza tusielewane, kwa sababu I believe in invisible powers, wewe huamini kwenye hizo.
 
Baba yake Elon alikua electrical engineer, na alikua na hisa za migodi Zambia

Baba yake Bill alikua mwanasheria mkubwa, hela nje nje, bill alipelekwa kwenye moja kati ya shule za kwanza kufundisha masomo ya computer.

Hakuna cha Mungu wala shetani mzee, ni bahati yako tu.... tatizo wabongo wavivu kufikiria kila kitu mnaona ni ushirikina na nguvu za Mungu, maisha hayako hivyo
Mfano ukiulizwa BAHATI ni nini utajibu vipi?
 
Baba yake Elon alikua electrical engineer, na alikua na hisa za migodi Zambia

Baba yake Bill alikua mwanasheria mkubwa, hela nje nje, bill alipelekwa kwenye moja kati ya shule za kwanza kufundisha masomo ya computer.

Hakuna cha Mungu wala shetani mzee, ni bahati yako tu.... tatizo wabongo wavivu kufikiria kila kitu mnaona ni ushirikina na nguvu za Mungu, maisha hayako hivyo
Watu wanapambana sana bila back up utasota sana
 
Tafuteni hela hakuna Cha nn Wala nn na kama hela hazikutaki hata uue mutu bado hutapata
 
Ngoja nikueleweshe,

Mafanikio kwa kiasi kikubwa yanatokana na bahati. Bahati ni mchanganyiko wa vigezo vilivyopo nje ya uwezo wako. Bill Gates alitumia analogy akasema;

Kwanza alizaliwa marekani, hiyo ni bahati, Alizaliwa me sio ke, hiyo ni bahati, Alizaliwa mzungu sio mweusi, hiyo ni bahati, Familia ya kishua, bahati, Akapelekwa shule inayotoa masomo ya kompyuta, enzi hizo teknolojia ya kompyuta ndo imeanza, hiyo nayo ni bahati.

Sasa imagine angezaliwa mweusi, au ke, au maskini, au angezaliwa afrika, hivyo vitu vidogo vidogo vingemletea vikwazo.

Luck is a combination of unique circumstances.

Na ndio maana hata wasio na hiyo 'backup' yako ya kiroho wanafanikiwa; waislamu, wahindi, atheists, wote wana imani tofauti na yako ila wapo waliofanikiwa.
Kwenye kitabu cha bill gate , embodiment of digital era. Alishasema,

"His idea and thoughts always focused on the hard work , competitiveness high intelligence and the vision but not, Luck or any sort of God.
 
Back
Top Bottom