Amuulize Gwajiboy alivyoumbuliwa...na huyo Mungu amshike kweli.Yesu hapendi wanafiki atafichuliwa tu kama ana maisha ya shortcuts
Gwajima amebaki kimyaaAmuulize Gwajiboy alivyoumbuliwa...na huyo Mungu amshike kweli.
Alikuwa ana rangi nzuri huo ulokole wake ni wamashaka anakosoa umbaji wa Mungu.Naona kaanza biashara za China kama Faiza Ally
Mie namshauri apunguze kujichubua manake siku hizi ngozi yake inakimbilia kufanana na ya papai lililoiva
Alikuwa ana rangi nzuri huo ulokole wake ni wamashaka anakosoa umbaji wa Mungu.
Labla wanapata wanaume wenye pesa tofauti wakiwa na rangi nyeusiSijui mastar wanapendea nini weupe
Ni msanii chipkiz?Ila wanazengo kwa tunaomjua muna alikotoa mwenzangu bibie kapiga hatua bwana, muna siku hizi Ana damshi, muna huyu sio muna Yule wa zaman Mbeba mapochi ya Wema sepetu, yani life lake limebadilika kwa asilimia kubwa na nadhani yeye anaweza kumuajiri Wema na yeye ambebee mapochi, lol .
Ila Shoga nae alishawahi kudaiwa kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya, maana muna pesa kashika sana huyu dada , anaendesha magari ya thamani ata anapokaa mashallah si haba, yani inshort muna ni kati ya mastaa wachache bongo ambao they are living the best life.
Ila shoga yetu Sasa anachofanya mjini hakujulikani, ye ukimuuliza shosti mbona unadamshi ebu tupe siri na sie wanazengo, Bibi Yule anakwambia ni mambo ya Yesu, mmh bibie huyu anatufanya wajinga, kama kuokoka ndo ungekua kila mtu anaishi maisha yale basi jiji zima la dar lingeokoka maana sio kwa ugumu huu wa maisha .
Sitaki kumchimba sana mtumishi wa Mungu , wala kugusia maisha yake yaliyopita, cha muhimu kaamua kumrudia Mungu( kama kweli ) basi mie sina shida nae, Ila nae aombe nisipate umbea wake , atajuta mjini apa.View attachment 1097854
Nasikia anakwichikwichi na yule kaka wa kigamboni mlokole mwenzie.🙈Ila wanazengo kwa tunaomjua muna alikotoa mwenzangu bibie kapiga hatua bwana, muna siku hizi Ana damshi, muna huyu sio muna Yule wa zaman Mbeba mapochi ya Wema sepetu, yani life lake limebadilika kwa asilimia kubwa na nadhani yeye anaweza kumuajiri Wema na yeye ambebee mapochi, lol .
Ila Shoga nae alishawahi kudaiwa kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya, maana muna pesa kashika sana huyu dada , anaendesha magari ya thamani ata anapokaa mashallah si haba, yani inshort muna ni kati ya mastaa wachache bongo ambao they are living the best life.
Ila shoga yetu Sasa anachofanya mjini hakujulikani, ye ukimuuliza shosti mbona unadamshi ebu tupe siri na sie wanazengo, Bibi Yule anakwambia ni mambo ya Yesu, mmh bibie huyu anatufanya wajinga, kama kuokoka ndo ungekua kila mtu anaishi maisha yale basi jiji zima la dar lingeokoka maana sio kwa ugumu huu wa maisha .
Sitaki kumchimba sana mtumishi wa Mungu , wala kugusia maisha yake yaliyopita, cha muhimu kaamua kumrudia Mungu( kama kweli ) basi mie sina shida nae, Ila nae aombe nisipate umbea wake , atajuta mjini apa.View attachment 1097854
Ndio nani huyo...fungua code basiNasikia anakwichikwichi na yule kaka wa kigamboni mlokole mwenzie.🙈
Sijui mastar wanapendea nini weupe
MasanjaNdio nani huyo...fungua code basi