Mafanikio sekta ya Afya:
Mafanikio ya nchi yanapimwa kimataifa na hivi sasa kigezo kikubwa cha kupima maendeleo ya nchi ni malengo ya millennia.
Tanzania ni mojawapo ya nchi duniani ambayo ilitekeleza huduma za afya ya msingi kwa mafanikio makubwa sana baada ya uhuru, hii ni kauli ya Rais wa baraza kuu la 65 la UN mwaka 2011 Bw. Joseph Deiss alisema Tanzania ni nchi ya kupigiwa mfano barani Afrika.
Miongoni mwa mafanikio kwenye sekta ya afya ni:
- huduma za afya zimesogezwa karibu wananchi.
- utoaji wa chanjo za kuzuia magonjwa mbalimbali bure na chanjo kuhusu mama na mtoto.
- Kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka 5.
- Huduma ya kinga ya maambukizi ya ukimwi toka kwa mama mjamzito kwenda kwa mtoto.
- Kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi.
- Kupunguza malaria kwa kugawa vyandarua vyenye dawa.
- Kupunguza magonjwa yanayosababishwa na maji, magonjwa hayo ni pamoja na kipindupindu na homa ya matumbo.
- %86 miongoni mwa kaya maskini walitumia huduma za vituo vya afya vya serikali
- Utoaji wa dawa za kupunguza makali ya ukimwi bure.
- Utoaji wa tiba ya kifua kikuu na ukoma bure.
- Kutokomeza magonjwa mbalimbali ambayo hapo awali yalikuwa ni kero.
- Kuongeza ajira kwenye sekta ya afya.
- Kujenga miondombinu ya afya.
- Hospitali Ocean roard imetangazwa na na tume ya nyuklia duniani kuwa ni mfano hospitali bora ya tiba ya kansa barani Afrika.
- Imeanzishwa tiba ya moyo nchini, kuna operesheni za moyo zaidi ya 400 zimefanyika kwa mafanikio ndani kipindi cha miaka 3 hivi sasa.
Hopeless! Viongozi wangapi wamefia nje ya nchi miaka ya utawala wa jk wakitafuta matibabu? Kama huduma hizo hazipo hapa kuwahudumia waheshimiwa hao ni wangapi wasio jiweza wamekufa kwa maradhi hayo hayo?
Hivi unajua vifo vya watoto chini ya miaka mitano na akina mama wanaokufa wajawazito
Kwa alama zote hizi CCM itabaki madarakani miaka mingi sana ijayo, Long live CCM
Mimi siyo CCM na wala CCM siyo mama yangu.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, CCM kwenye barabara wamejitahidi.
Nitawakumbuka sana kwa hilo.
mafanikio sekta ya afya:
mafanikio ya nchi yanapimwa kimataifa na hivi sasa kigezo kikubwa cha kupima maendeleo ya nchi ni malengo ya millennia.
tanzania ni mojawapo ya nchi duniani ambayo ilitekeleza huduma za afya ya msingi kwa mafanikio makubwa sana baada ya uhuru, hii ni kauli ya rais wa baraza kuu la 65 la un mwaka 2011 bw. Joseph deiss alisema tanzania ni nchi ya kupigiwa mfano barani afrika.
miongoni mwa mafanikio kwenye sekta ya afya ni:
- huduma za afya zimesogezwa karibu wananchi.
- utoaji wa chanjo za kuzuia magonjwa mbalimbali bure na chanjo kuhusu mama na mtoto.
- kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka 5.
- huduma ya kinga ya maambukizi ya ukimwi toka kwa mama mjamzito kwenda kwa mtoto.
- kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi.
- kupunguza malaria kwa kugawa vyandarua vyenye dawa.
- kupunguza magonjwa yanayosababishwa na maji, magonjwa hayo ni pamoja na kipindupindu na homa ya matumbo.
- %86 miongoni mwa kaya maskini walitumia huduma za vituo vya afya vya serikali
- utoaji wa dawa za kupunguza makali ya ukimwi bure.
- utoaji wa tiba ya kifua kikuu na ukoma bure.
- kutokomeza magonjwa mbalimbali ambayo hapo awali yalikuwa ni kero.
- kuongeza ajira kwenye sekta ya afya.
- kujenga miondombinu ya afya.
- hospitali ocean roard imetangazwa na na tume ya nyuklia duniani kuwa ni mfano hospitali bora ya tiba ya kansa barani afrika.
- imeanzishwa tiba ya moyo nchini, kuna operesheni za moyo zaidi ya 400 zimefanyika kwa mafanikio ndani kipindi cha miaka 3 hivi sasa.
Kumbe hata wakienda nje wanakufa pia?Hopeless! Viongozi wangapi wamefia nje ya nchi miaka ya utawala wa jk wakitafuta matibabu? Kama huduma hizo hazipo hapa kuwahudumia waheshimiwa hao ni wangapi wasio jiweza wamekufa kwa maradhi hayo hayo?
Hivi unajua vifo vya watoto chini ya miaka mitano na akina mama wanaokufa wajawazito
Kwa mantiki hiyo pia unaweza kuuliza kwa nini Rais anakaa Ikulu? au kwa nini Rais hatembelei Corola?kinachowafanya viongozi wenu wakafie ughaibuni ni nini ?
"Rasimu ya katiba ya Jaji Warioba imejaa kugawana vyeo na madaraka haijaangalia uchumi" Mzee Kingunge1.Nitaikumbuka kwa kumtuma JAJI WAROBA akatafute rasimu ya katiba ambayo wanayo mfukoni.
"Serikali ya Muungano katika serikali tatu itamiliki mabomu, mizinga, pingu, bunduki na magari ya maji ya washawasha haitakuwa na vyanzo vya mapato na haitakuwa na msingi imara na hatimaye muungano kuvunjika" Rais Kikwete1.Nitaikumbuka kwa kumtuma JAJI WAROBA akatafute rasimu ya katiba ambayo wanayo mfukoni.
Kwa mantiki hiyo pia unaweza kuuliza kwa nini Rais anakaa Ikulu? au kwa nini Rais hatembelei Corola?
Siyo ujinga ni mantiki tu. Viongozi hawawezi kufanana na watu wengine ndiyo maana leo Dodoma watu wanachukua posho Shs. laki 3 kwa siku, mbona Tundu Lissu na Mbowe hawajagomea? au nyie hamjaandamana?jibu lako ni la kijinga sijapata kuona !
Rasimu ya katiba ya Jaji Warioba imejaa kugawana vyeo na madaraka haijaangalia uchumi Mzee Kingunge