CHIMBULI WA CHIMBULI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 468
- 160
Za asubuhi wadau!
Ni kosa kubwa sana kudhani nyoka anaweza kuwa kinyonga, hii ni kutokana na ukweli kwamba hawa ni viumbe tofauti kabisa. Na usitegemee kumwona nyoka akibadili badili rangi zake. toka enzi za Maisha bora kwa kila mtanzania hadi enzi za Pale Ngunju tu na Ngumu kumeza, no changes so far. Ukiwa timamu na mwepesi kutafakari, utagundua kuwa siasa ya ccm imechokwa na hata vikongwe na ndo mama Zenji Jecha ndo wao, C7 ambaye watamuenzi daima. hakuna wanachosema kikawa Kweli, leo kikitamkwa hiki kesho kinatamkwa kingine ni sawa na kusema huyu fisadi kesho hatuna mshitakiwa katika mahakama ya mafisadi. tuwaamini kwa lipi Sasa? Viwanda 200 ndo hadithi ya karibuni na munashupalia jambo Moja ili kusahaulisha mengine. wapi milioni 50, wapi mikopo kwa wanafunzi, wapi ajira rasmi kwa vijana, wapi maji vijijini, wapi zahanati kila kijiji, wapi kule kumjali mkulima.... Hata wimbo wa Hapa kazi TU koo imekauka haina mate tena wala sauti haitoki.
shame on you! jitafakarini upya. mimi niliwapigia kura lakini najuta! ndo maana mikutano ya kisiasa mmezuia eeh! ukweli tunaishi nao na hamuaminiki kamwe.