Fahamu mazingira utakayokuwa unafanyia huo utafutaji wa madini.
Wasiliana na mtaalamu wa madini akupe specification ya detector yenye uwezo wa kutazama chini umbali wa mita ngapi. (Lengonikuagizakifaakitakachokidhimahitaji)
Kisha ingia amazon na tafuta detector itakayokidhi mahitaji.