Utafiti wangu: Wanaume hawapendi kuoa wanawake wazuri sana...

Ndio maana mimi huwa siku zote nasema kuna memba hapa ndani wanakuja na hoja dhaifu. Kama huna cha kuandika kwa nini usinyamaze kimya. Nakuunga mkono 100%

Nimekupata mkuu,,ila kuna wengine kama mimi,DOMO langu halijui kunyamaza hasa pale ninapokutana na negative experience.
Sasa! Naomba msaada wako,nifanye nini nisiwe na post topic ila nipewe uhuru wa kuchangia mada.
Asante sana,MWANAMALUNDI
 
Uzuri kila mmoja ni mzuri ila tunatofautiana ktk urembo, hiyo ni tabia ya mtu tu hata awe kama nyani
 
huu ni uzembe wa kufikir unandhan haya hayawez kutokea kwa huyo unaye mwita mbaya?...........mwanamke ni mwanamke tu cha msingi ni vp unamtreat aseh hata mbovu anaweza kukuvuruga ukashangaa!
 
tuwe wa kweli jamani,mwenye uzi huu namuunga mkono ukiwa na mwanamke mzuri machoni pa wengi hata kama utajitahid kumtreat lakini cha moto lazima ukione tofauti ukiwa na mwanamke wa kawaida,hatusemi kwamba mzuri lazima awe na tabia mbaya ila anakutana na vishawishi vingi sana
 
Mwanamke mzuri sana katika viwango vyote vinavyokubalika katika jamii,,
Atakupa moja au yote ya yafuatayo:
::
Addition of trouble
Division of friends
Substraction of money
Addition of enemies
=

uzuri ni inborn, urembo unatafutwa. Cku hizi mrembo anaitwa mzuri pia. We unaongelea mzuri yupi? Wa kuzaliwa nao au wa kutengeneza kwa urembo?
 
Usumbufu wa mwanamke ina depend na ye mwenyewe anavyo jisikia msiache kuoa wanawake wazuri kisa mnaogopa wata wasumbua mwanaume ukiwa na msimamo na kujiamini sio rahisi mwanamke kuku sumbua
 
uzuri ni inborn, urembo unatafutwa. Cku hizi mrembo anaitwa mzuri pia. We unaongelea mzuri yupi? Wa kuzaliwa nao au wa kutengeneza kwa urembo?

Uzuri unaozungumziwa hapa ni ule unaowafanya wanawake wazuri (wale ambao jamii inaowazunguka wanaabudu uzuri wao,,wa asili na kubabaisha wengine) Wanawake hawa waamini wanaweza kuwababaisha waume/wachumba wao kwa kujua Akimuacha huyu atampata yule maana anajua anapendwa kisa ni mzuri.Hawa hawachelewi kuvuruga dira za wale wanaowapenda.
 
Uzuri kila mmoja ni mzuri ila tunatofautiana ktk urembo, hiyo ni tabia ya mtu tu hata awe kama nyani

Nakubaliana na wewe ila lipo kundi la wale WANAOAMINI NI WAZURI na wanatumia uzuri huu kuwaendesha wanaowapenda.
Hawa ndio naowazungumzia.Sikatai wapo wazuri wanaojitambua ila ni wachache sana.Hapa tunaelimishana wengi wamelia machozi,TUJIAMINI ila kwa uangalifu.
 
Mwanamke mzuri sana katika viwango vyote vinavyokubalika katika jamii,,
Atakupa moja au yote ya yafuatayo:
::
Addition of trouble
Division of friends
Substraction of money
Addition of enemies
=

uzuri ni inborn, urembo unatafutwa. Cku hizi mrembo anaitwa mzuri pia. We unaongelea mzuri yupi? Wa kuzaliwa nao au wa kutengeneza kwa urembo?
 
Wazuri wa nini?

hahahahahahahaha!! wacha nifurahi mie,awe mzuri natural tuache ubishi wa kijinga,wanawake wa siku sio kabisa kuanzia nywere ni mchina,usoni yaani rangi,kope za macho,nyusi vyote mchina,boobs yaani matiti ameya uplift,makalio du full mchina,sasa huo uzuri mnaousifia ninyi cjui ukoje,
 
musomo your right ...sio siri wanawake wazuri sana niugongwa wa moyo tu..hebu jaribu kuangalia kwa mfano we ndo mkewako ...kidoti,...sumari,...sepetu,...wolper,..uwoya,..lisa jensen,...wote hawa ni ugojwa wa moyo tu...
 
Ndio maana mimi huwa siku zote nasema kuna memba hapa ndani wanakuja na hoja dhaifu. Kama huna cha kuandika kwa nini usinyamaze kimya. Nakuunga mkono 100%

acha akili mtindi wewe!
Mbona una mawazo machachu hivi!
Mtu mwenyewe hata uzi hajawahi anzisha!
Hata mada unashindwa kuchangia!?
Nyakolomalo!
 
Wazuri wapo bhana. Ndio maana kuna miss Tz. Ebu fikiria mpaka Miss Iraq au Miss Iran anapatikanaje? Anapita kwenye jukwaa nani ya Baibui (buibui) Lakini humohumo wataalamu wanajua kwamba ndani kuna kitu. Sasa unapoulizia uzuri wa Kitu gani mimi nashangaa. kuna mwanamke mzuri kwa wote na mbaya kwa wote. Ndio maana wanawake wengine hawaolewi kwasababu sura zao na mwonekano wao kwa wengi hauridhishi. Hapo Tusibabaishane bhana
 
Dawa ya hao wanawake mnaosema wazuri ni kuoa na kuwazalisha watoto kama 5 hivi wa fasta fasta then baada ya hapo ndo tuuangalie ule uzuri anaoringa nao bado anao na kama anaendelea na maringo pamoja na kusumbua sumbua.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimependa ulivyoelezea jinsi ulivyofanya utafiti wako. Hili jukwaa ngoja waje wenyewe wenye fani hii mie napita tu
 
Ndio maana mimi huwa siku zote nasema kuna memba hapa ndani wanakuja na hoja dhaifu. Kama huna cha kuandika kwa nini usinyamaze kimya. Nakuunga mkono 100%

sio hoja dhaifu tu hata post nyingine hapa ni za kipuuzi zisizokuwa na mashiko kiasi kwamba zinashusha hadhi ya jukwaa na kulifanya liwe la kitoto.
 
Back
Top Bottom