Utafiti wangu: Wanaume hawapendi kuoa wanawake wazuri sana...

Labda hujasoma vizuri nilichosema nimesema wanawake wazuri sana, kwa wanaume wa ukweli wanajua kuwa tukiwa tumekaa kundi la wanaume na akapita mwanamke kuna watakaosema ni mzuri na kuna watakaopinga. Ila kuna wakati kuna mwanamke anapita na kundi zima linakubaliana kwamba huyu ni mzuri, hao sasa ndio nawaongelea mimi

Mzee upo sawia kabisa sema hawa jamaa humu ndani wanajifanya kutokukuelewa,yanakuelewa sema baasi tu!
 
....khaa, never aisee..katika kigezo kikuu cha mwanamke ninayechagua lazima awe mzuri wa sura pia...!
 
Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake hata kama ni pumba.
Mtoa mada unaonekana uwezo wako wa kujieleza ni mdogo mmmmno!

Kwa mwanaume mwenye kujua uthamani wa mwenza kuna vitu vingi vinavyochunguzwa kwa mwanamke kabla hujamuoa. Suala la uzuri unaouongelea sijui ni uzuri upi huo. Wanadamu tonatofautiana katika kuthamini uzuri wa nje wa mwanamke.

Kuna wanaopenda wanawake:-
weusi, wembamba,
weusi, wanene
weupe wembamba,
weupe wanene,
Virema n.k
Ukimuoji kila mtu ana sababu zake zinazomfanya apende aina fulani.

Huyu dogo anadhani yeye anavyodefine uzuri ndio na wengine wote ni hivyo! Nimemwita dogo vile fikra zake bado hazijakomaa! You still have a long way to go.
 
Huyu dogo anadhani yeye anavyodefine uzuri ndio na wengine wote ni hivyo! Nimemwita dogo vile fikra zake bado hazijakomaa! You still have a long way to go.
Now whoz dogo here, me or the one who wrote the post you quoted?
 
mama blanca wangu ni mzuri wa kila kitu sura tabia umbo ..taja vyote....na sina presha na huwa siwazi hayo unayosema mleta mada.....zaidi ni kuwa wanaume wengi wengi huwa wanaogopa na kudhani mke wake ataibiwa na ndio wanaume wa type hii huwa wakioa anadiriki hata kumwachisha kazi mke wake ..awe mama wa nyumbani.....

Mzee mwenzangu upo serious au unatania?Acha utani kabisa,wanawake wazuri isivo kawaida whether ameolewa na mtu kama wewe Edson au hajaolewa,au ana boyfriend au hana,whether ana maadili au hana,weka kando,ni 100% target ya wanaume wote,hili unalijua vizuri sana sema unaleta league tu....hataweza ku-handle this kind of pressure all her life just for you mzee,hawezi kabisa tusidanganyane wewe....kwanza how "powerful" are you for her?
 
Kaka labda tuliweke sawa ili waelewe, Duniani hakuna mwanaume hapendi mwanamke mzuri ila ni kwa nia moja tu kumtumia then anasepa sa yule anayetaka kumiliki jumla ndio mzigo kwake
 
Sio kweli,wanawake wa kuoa wapo hivyo,sijajua ni vigezo gani umetumia,ila kwa viwango vya uzuri na ubaya ambavyo ni vya kinafki vimewekwa na wanadamu ambavyo sikubavyo sikubaliani navyo kwani hakuna mzuri wala mbaya, wapo wanawake wabaya wengi tu ambao wana tabia za kijinga!
 
Nakubaliana na wewe kabisa ila hapa hatuongelei suala la tabia kabisaaa............
 
Utafiti nilioufanya kwa kutumia vigezo vyangu mwenyewe visivyofanana na vya Synovet wala ESRF unaonyesha kwamba wanaume hawapendi kuoa wanawake wazuri sana.

Sababu kubwa kabisa ni kuogopa pressure zitakazoletwa na hisia za mkewe kutakwa na wanaume wengi hivyo kutokuwa na uhakika wa mwanamke huyo kuwa wake peke yake.

Naruhusu findings za wengine juu ya hili karibuni.....................
Acha izo mkuu! Mi nimeoa mke mzuri sanaaa! Na hamna presha wala nini! Labda kwakuwa na mi ni bonge la handsome boy! Ila all in all beauty lies in the eyes of the beholder!
 
Acha izo mkuu! Mi nimeoa mke mzuri sanaaa! Na hamna presha wala nini! Labda kwakuwa na mi ni bonge la handsome boy! Ila all in all beauty lies in the eyes of the beholder!
Hahahahaa bonge la Hand some, haya bhana Mahandsome wenzio watakugongea tu we subiri
 
Midume tunapenda wanawake wazuri wa Tabia. Lakini pia na mweneko wa nje unamata sana! kifaa kikiwa na tabia njema halafu muonekano wa nje ukawa tata, mmmhhhh kufanya maamuzi ni ngumu!
 
Back
Top Bottom